NYOTA wa Ruvu Shooting ambaye kwa sasa yupo kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Edward Manyama ana uwezo wa kufunga licha ya kw...
NYOTA wa Ruvu Shooting ambaye kwa sasa yupo kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Edward Manyama ana uwezo wa kufunga licha ya kwamba ni beki anatajwa kuwa kwenye rada za Simba, Yanga na Azam FC, uwezo wake huu hapa ambapo amecheza pia ndani ya Namungo. Video Credit: Azam TV
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS