YANGA: TULIPAMBANA CARLINHOS ABAKI MPAKA TUKAKODI WAPISHI
HomeMichezo

YANGA: TULIPAMBANA CARLINHOS ABAKI MPAKA TUKAKODI WAPISHI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ulipambana kwa hali na mali kwa ajili ya kuweza kumbakisha kiungo wao Carlos Carlinhos kwa kuwakodi wa...

MASAU BWIRE AFUNGUKA NAMNA ALIVYOPEWA OFA SIMBA, AMTAJA MANARA
WAWAKILISHI WETU KIMATAIFA FANYENI KWELI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI


UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ulipambana kwa hali na mali kwa ajili ya kuweza kumbakisha kiungo wao Carlos Carlinhos kwa kuwakodi wapishi kutoka ubalozi wa Angola ila mwisho wa siku nyota huyo aliamua kuvunja mkataba.

Mei 31 Yanga ilitoa taarifa rasmi ya kuachana na kiungo huyo raia wa Angola baada ya kuomba kusitishiwa mkataba na ilipitishwa baada ya pande zote mbili kuketi.

Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema:"Ni kweli Carlinhos ameondoka ila uongozi wa Yanga ulifanya kila jitihada kuona kwamba namna gani anaweza kubaki ndani ya Yanga kwa kufanya kila lililohitajika.

"Mwanzoni alipokuja kulikuwa na shida katika chakula ambapo tuliamua kukodi wapishi kutoka ubalozi wa Angola.

"Wapishi wale walikaa kambini kisha baadaye walianza kuwa train (kuwafundisha) wapishi wetu kisha baadaye akasema mkewe aletwe anahitaji chakula kinachopikwa nyumbani, mkewe akaletwa.

"Tulifanya kila jitihada kumfanya abaki ila baadaye tukaona kwamba hakuwa tayari na tukajua kwamba hakuwa tayari kwa kuwa hakuwa na furaha, labda hakuwa ameandaliwa kucheza katika mazingira yote, mchezaji professional anacheza katika hali zote," amesema Bumbuli.

    

Ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga imecheza jumla ya mechi 29 ina pointi 61 na imetupia jumla ya mabao 43 katika mabao hayo ni sita nyota huyo alihusika ambapo alifunga matatu na kutoa jumla ya pasi tatu za mabao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: TULIPAMBANA CARLINHOS ABAKI MPAKA TUKAKODI WAPISHI
YANGA: TULIPAMBANA CARLINHOS ABAKI MPAKA TUKAKODI WAPISHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP7eYH0B2dDjlNK1mMW1fpBHqvoRaghLKIHlIN9oiv8AgJ3awlghyphenhyphenB3jL1gOSjjal-d0sSxYy7yEcGKXbIrQe2Q1Q44XdnXbMPt0_dxkTqcSebDiPBR_4r2sRM2G6YNPrYKTRj2kMVlnxJ/w640-h426/carlinhos_carmo-148599013_441816527063576_3547273867941282464_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP7eYH0B2dDjlNK1mMW1fpBHqvoRaghLKIHlIN9oiv8AgJ3awlghyphenhyphenB3jL1gOSjjal-d0sSxYy7yEcGKXbIrQe2Q1Q44XdnXbMPt0_dxkTqcSebDiPBR_4r2sRM2G6YNPrYKTRj2kMVlnxJ/s72-w640-c-h426/carlinhos_carmo-148599013_441816527063576_3547273867941282464_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-tulipambana-carlinhos-abaki-mpaka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-tulipambana-carlinhos-abaki-mpaka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy