KIKOSI cha Simba kesho Juni 19 kina kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Polisi Tanzania. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uw...
KIKOSI cha Simba kesho Juni 19 kina kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Polisi Tanzania.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika, Moshi.
Kwa mujibu wa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao huo.
Mchezo uliopita walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Simba 2-0 Polisi Tanzania hivyo utakuwa ni mchezo wa kisasi kwa Polisi Tanzania.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS