Rais Samia ataka riba za mikopo benki kupunguzwa
HomeHabari

Rais Samia ataka riba za mikopo benki kupunguzwa

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuagiza Gavana wa Benki Kuu (BOT), Profesa Florens Luoga kukaa na Wizara ya Fedha na Mipango ku...

Maadili Sio Kazi ya Viongozi wa Dini Tu – Prof. Willy Komba
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Disemba 30
Tangazo la Kuitwa Kwenye Mtihani wa Usaili wa Maandishi (Apptitude Test) - Kutoka TAKUKURU / PCCB


Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuagiza Gavana wa Benki Kuu (BOT), Profesa Florens Luoga kukaa na Wizara ya Fedha na Mipango kujadiliana namna ya kupunguza kiwango cha riba katika mikopo inayotolewa  na benki mbalimbali nchini.

Amesema  riba kuwa juu ni  kikwazo kwa baadhi ya wawekezaji, wafanyabiashara na wananchi wa kipato cha chini kiasi cha kushindwa kukopa katika taasisi hizo za kifedha.

Rais Samia ameyasema hayo jana wakati akifungua jengo la Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Mwanza

Pia, amezitaka benki hizo kuanza kutoa mkopo wa muda mrefu ili kuwawezesha wakopaji waanzishe miradi ikiwemo kufungua viwanda, mashamba ya kilimo.

Aidha, ameiagiza BOT kufanya maandalizi kuhusu matumizi ya sarafu za kimtandao, ili mabadiliko hayo yatakapofika nchini, yasiikute nchi haijajiandaa.

“Tumeshuhudia kuibuka kwa safaru mpya kwa njia ya kimtandao, yaani cryptocurrency. Najua bado nchini ikiwemo Tanzania hazijakubali au kuanza kuzitumia safaru hizo. Hata hivyo, wito wangu kwa Benki Kuu ni vyema mkaanza kufanyia kazi maendeleo hayo. Yakija yakitukamata, yasitukamate hatuko tayari,” alisema Rais Samia

Leo tarehe 14 Juni, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea na ziara yake mkoani Mwanza kwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa yani (SGR) kipande cha tano kutoka Mwanza hadi bandari ya nchi kavu Isaka mkoani Shinyanga, atafanya ukaguzi wa Ujenzi wa daraja la JPM pamoja na ufunguzi wa Mradi wa Maji Misungwi.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia ataka riba za mikopo benki kupunguzwa
Rais Samia ataka riba za mikopo benki kupunguzwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjt6VDw5Eou7_SuyeAeA9aq_FXdboDIKdGFH9e3pSu-jgJkQLMqhf2J4TzR7lzIQRlfMsJAlqp_Ei4yVaMP3LVu61ycZklXtAztZciePWwPP3ZHy0A4h2dQNNT_eWA64HKaQ6A1qaIcEF8N/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjt6VDw5Eou7_SuyeAeA9aq_FXdboDIKdGFH9e3pSu-jgJkQLMqhf2J4TzR7lzIQRlfMsJAlqp_Ei4yVaMP3LVu61ycZklXtAztZciePWwPP3ZHy0A4h2dQNNT_eWA64HKaQ6A1qaIcEF8N/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/rais-samia-ataka-riba-za-mikopo-benki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/rais-samia-ataka-riba-za-mikopo-benki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy