NYOTA WANNE WA SIMBA WAWEKA REKODI BONGO
HomeMichezo

NYOTA WANNE WA SIMBA WAWEKA REKODI BONGO

 NYOTA wanne wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 wameweka rekodi yao kwa kuhusika kwe...

SIMBA KAMILI GADO KUIVAA PRISONS LEO KWA MKAPA
KUMBE! WADUKUZI WALIHACK NAMBA YA MWENYEKITI WA YANGA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

 NYOTA wanne wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 wameweka rekodi yao kwa kuhusika kwenye mabao mengi kuliko wachezaji wengine wote Bongo.


Kwa upande wa washambuliaji ni John Bocco ana mabao 13 na pasi tatu za mabao, Meddie Kagere ana mabao 11, Chris Mugalu ana mabao 10 na pasi mbili za mabao huku kinara wa pasi za mwisho Clatous Chama akiwa na mabao 7 na pasi 13 za mabao.


Jumla nyota hawa wamehusika kwenye mabao 59 ambayo haijafikiwa na timu yoyote hata zile zilizo ndani ya tatu bora jambo ambalo ni rekodi kwa msimu huu ambao umekuwa na ushindani mkubwa.


Ikiwa na pointi zake 67 ipo nafasi ya kwanza na imefunga jumla ya mabao 64 nafasi ya pili ipo mikononi mwa watani zao wa jadi ambao ni Yanga wana pointi 61 na wamefunga jumla ya mabao 43.



Kwa upande wa Azam FC inayonolewa na George Lwandamina safu yao ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 44 na ina pointi 60.


Ni Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda rekodi zinaonyesha kwamba safu yao ya ushambuliaji imefunga mabao machache ambayo ni 19 katika mechi 29 ipo nafasi ya 14 na ina pointi 33.


Gomes aliliambia Championi Jumamosi kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kutumia nafasi zote ambazo wanazipata ndani ya uwanja ili kuweza kushinda mechi zao.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WANNE WA SIMBA WAWEKA REKODI BONGO
NYOTA WANNE WA SIMBA WAWEKA REKODI BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6UPg52iXvhl3bCMveGDNvRfRZjeGpvoYF1VtZlZ0ePodWeee1GCk0jgUqPkgjBQJx9eDQJ9rpgH0Ye0OdG2lnpK_dvBFlal-WXsuIl-gYXFwW2K8SqdLa_rGwEpocvM4239DhXmWmQspD/w640-h426/Bocco+John.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6UPg52iXvhl3bCMveGDNvRfRZjeGpvoYF1VtZlZ0ePodWeee1GCk0jgUqPkgjBQJx9eDQJ9rpgH0Ye0OdG2lnpK_dvBFlal-WXsuIl-gYXFwW2K8SqdLa_rGwEpocvM4239DhXmWmQspD/s72-w640-c-h426/Bocco+John.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wanne-wa-simba-waweka-rekodi-bongo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/nyota-wanne-wa-simba-waweka-rekodi-bongo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy