ERIKSEN KUPANDIKIZWA BETRI NDOGO KUFUATILIA MAPIGO YA MOYO
HomeMichezo

ERIKSEN KUPANDIKIZWA BETRI NDOGO KUFUATILIA MAPIGO YA MOYO

  MCHEZAJI wa timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen anatarajiwa kupandikizwa betri ndogo maalumu ya kufuatilia mapigo yake ya moyo n...

MBEYA CITY: TUNAWAHESIMU SIMBA ,TUNAZITAKA POINTI TATU
BREAKING; RASMI TANZANIA KUTOA TIMU NNE CAF
YANGA YAMALIZANA NA MASHINE HII YA KAZI

 MCHEZAJI wa timu ya taifa ya Denmark, Christian Eriksen anatarajiwa kupandikizwa betri ndogo maalumu ya kufuatilia mapigo yake ya moyo na kuzalisha umeme unaoendesha moyo pale utakaposimama.

 

Daktari wa mchezaji huyo, Morten Boesen amethibitisha kuwa licha ya kwamba mchezaji huyo sasa anaendelea vizuri lakini kifaa hicho kinachofahamika kwa kimombo kama ‘Cardioverter Defibrillator (ICD)’ kinatarajiwa kupachikwa maeneo ya kifuani kwake.


Wiki iliyopita mchezaji huyo alipata mshtuko wa moyo ‘cardiac arrest’ na kuanguka uwanjani akiwa anachezea timu yake ya Taifa  dhidi ya Finland katika mechi za kuwania kombe la Euro 2020.

 

Mchezaji huyo ambaye pia anachezea Klabu ya Inter Millan ya nchini Italia nusura apoteze maisha iwapo asingepatiwa huduma ya kufufua moyo na mapafu viweze kufanya kazi tena yaani CPR.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ERIKSEN KUPANDIKIZWA BETRI NDOGO KUFUATILIA MAPIGO YA MOYO
ERIKSEN KUPANDIKIZWA BETRI NDOGO KUFUATILIA MAPIGO YA MOYO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFZHj6iNzbFUcWn1wcI1PyAYrZx_IE6PBzb1v8Ii71AxIHFQB5SKHKhuE63nE_hR7Nvysw7YRP946sqWQHgy0A9USGeTZY1Xcmg62E-lehZMjfxUWCk-LgHSNX6tyqXzVTt9XH4jekczEv/w640-h360/Christian-Eriksen-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFZHj6iNzbFUcWn1wcI1PyAYrZx_IE6PBzb1v8Ii71AxIHFQB5SKHKhuE63nE_hR7Nvysw7YRP946sqWQHgy0A9USGeTZY1Xcmg62E-lehZMjfxUWCk-LgHSNX6tyqXzVTt9XH4jekczEv/s72-w640-c-h360/Christian-Eriksen-1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/eriksen-kupandikizwa-betri-ndogo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/eriksen-kupandikizwa-betri-ndogo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy