DUBE: TUTAPAMBANA KWA AJILI YA TIMU LEO
HomeMichezo

DUBE: TUTAPAMBANA KWA AJILI YA TIMU LEO

 MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Azam FC, Prince Dube amesema  kuwa leo watapambana kupata ushindi mbele ya Rhino Rangers kwenye mchezo w...


 MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Azam FC, Prince Dube amesema  kuwa leo watapambana kupata ushindi mbele ya Rhino Rangers kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Mchezo wa leo utachezwa majira ya saa 10:00 jioni ikiwa ni hatua ya robo fainali na mshindi wa mchezo atapambana na mshindi wa mchezo kati ya Simba na Dodoma Jiji ambao nao pia utachezwa leo saa 1:00, usiku Uwanja wa Mkapa.

Dube mwenye mabao 14 ndani ya ligi akiwa ni namba moja kwa utupiaji amesema kuwa wapo tayari kupata matokeo leo na watafanya kwa ajili ya timu.

"Kwa ajili ya timu yetu tutapambana ili kupata matokeo tunajua kwamba mashabiki wanahitaji matokeo nasi pia tutafanya hivyo.

"Kikubwa ni kwamba maandalizi yapo sawa na kila kitu kinakwenda vuzuri hatuna mashaka licha ya kwamba tunajua kwamba tutapata ushindani mkubwa kutoka kwa wapinzani wetu,".

Ni Uwanja wa Kambarage, Shinyanga mchezo huu utachezwa ili kupata mshindi ndani ya dakika 90.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUBE: TUTAPAMBANA KWA AJILI YA TIMU LEO
DUBE: TUTAPAMBANA KWA AJILI YA TIMU LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg7apyvN7-P3dD-9h8Hfnn8lHAQZGi43KJr8X98rU5IPzJx0chyphenhyphenHr0ZfZw71xc7jtzH1AqiB0N_EsxxYFss5Z2gMjr82A5uPSDp0Wt8NhXNeuQnDLXR43xdTuSN0Q5FSBNGJ0RMiZocFU6/w640-h640/Dube.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg7apyvN7-P3dD-9h8Hfnn8lHAQZGi43KJr8X98rU5IPzJx0chyphenhyphenHr0ZfZw71xc7jtzH1AqiB0N_EsxxYFss5Z2gMjr82A5uPSDp0Wt8NhXNeuQnDLXR43xdTuSN0Q5FSBNGJ0RMiZocFU6/s72-w640-c-h640/Dube.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/dube-tutapambana-kwa-ajili-ya-timu-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/dube-tutapambana-kwa-ajili-ya-timu-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy