YANGA YALIPIGIA HESABU KOMBE HILI LA SIMBA
HomeMichezo

YANGA YALIPIGIA HESABU KOMBE HILI LA SIMBA

BAADA ya kusepa na pointi tatu muhimu mbele ya  JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Yanga wameweka wazi kwamba hesabu zao kubwa...

GREALISH TAMBO KIBAO KISA KUFUNGA
VIDEO: ISSA AZAM APOKELEWA NDANI YA SIMBA RASMI
YANGA YAPANIA KUPINDUA MEZA KIBABE NIGERIA



BAADA ya kusepa na pointi tatu muhimu mbele ya  JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Yanga wameweka wazi kwamba hesabu zao kubwa ni kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Mwadui FC.

Mei 19, ubao wa Jamhuri, Dodoma baada ya dakika 90 ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga ambapo watupiaji walikuwa ni Yacouba Songne na Tuisila Kisinda.

Yanga ilitinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo bingwa wake mtetezi ni Simba baada ya ubao wa Uwanja wa Nelson Mandela kusoma Prisons 0-1 Yanga na mtupiaji alikuwa ni Yacouba Songne.


Injinia Hersi Said ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Usajili ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa wanahitaji kwenda kupata ushindi mbele ya Mwadui FC ili kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho.


“Tukimaliza kazi mbele ya JKT Tanzania, safari yetu itakuwa ni kwenda Shinyanga ambapo huko tunakwenda kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Mwadui FC, bado malengo yetu ni kufanya vizuri na nafasi ipo kwa sababu wachezaji wapo tayari,”.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kamabarage Mei 25 na mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Biashara United ama Namungo katika hatua ya nusu fainali.

Tayari kazi na JKT Tanzania wameshamaliza na kwa sasa Yanga imeshatia timu Shinyanga kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa sababu wadui haina cha kupoteza.

Ikumbukwe kuwa walipokutana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Kambarage, ubao ulisoma Mwadui 0-5 Yanga.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YALIPIGIA HESABU KOMBE HILI LA SIMBA
YANGA YALIPIGIA HESABU KOMBE HILI LA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB8TTq7EmIUHoOLc5weyTeFYQTFauLNTDYtE_QjS0tiDDNbhuvDKhA4gdzozAX-qblyI3uKg3o9g_7K-oc6-VAdbvkdvc58zrEq8uoB8SolGnqNsrB0AxyereWpNczCiOauKVO1OGnrlio/w640-h640/yangasc-189066525_534220274423897_2216734469712776438_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB8TTq7EmIUHoOLc5weyTeFYQTFauLNTDYtE_QjS0tiDDNbhuvDKhA4gdzozAX-qblyI3uKg3o9g_7K-oc6-VAdbvkdvc58zrEq8uoB8SolGnqNsrB0AxyereWpNczCiOauKVO1OGnrlio/s72-w640-c-h640/yangasc-189066525_534220274423897_2216734469712776438_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/yanga-yalipigia-hesabu-kombe-hili-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/yanga-yalipigia-hesabu-kombe-hili-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy