MTIBWA SUGAR: TUPO SEHEMU MBAYA TENA SANA
HomeMichezo

MTIBWA SUGAR: TUPO SEHEMU MBAYA TENA SANA

  SALUM Kihimbwa nyota wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wapo sehemu mbaya sana kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara hivyo wana kazi ya kujinasua h...

UFARANSA YAFUNGUA EURO 2020 KWA USHINDI, POGBA NYOTA WA MCHEZO
KAIZER CHIEFS YAIPA YANGA MASTAA WAWILI, SIMBA YARUDI KWA LUHENDE, NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
VIDEO: SIMBA KUINASA SAINI YA KIUNGO OCHOWECHI WA NIGERIA

 


SALUM Kihimbwa nyota wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wapo sehemu mbaya sana kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara hivyo wana kazi ya kujinasua hapo walipo.

Ushindi wao wa jana mbele ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Jamhuri kwa bao 1-0 unawafanya wafikishe jumla ya pointi 31 baada ya kucheza mechi 29.

Ni Kihimbwa mwenyewe alipachika bao hilo kwa kichwa dakika ya 5 akimalizia pasi ya George Makang'a na kuwafanya wapate pointi tatu.

Kwenye msimamo wa ligi Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 14 haijawa kwenye mwendo mzuri msimu huu kutokana na kupata matokeo ambayo hayawafurahishi wachezaji.

Nyota huyo amesema:"Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuipatia pointi tatu timu yangu ila tupo katika nafasi mbaya tena sana kwa sasa.

"Kikubwa kilichobaki ni kuona kwamba tunashinda mechi zetu zijazo na tutapambana ili kupata matokeo chanya hivyo mashabiki watupe sapoti," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTIBWA SUGAR: TUPO SEHEMU MBAYA TENA SANA
MTIBWA SUGAR: TUPO SEHEMU MBAYA TENA SANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpsWgFKJO5DWqpc5et4s2u7pcIxWTtDFfDabsr3GHA6LI8s7eLq6ZJ1DiB1eW_QtacduSfzooKVj3zZmYCGHbDqUC1C_Y3U5ojQPjL2qaJ4mH8T9OcGXGdwkuMKOz3iDLhos8bqIgNSmVL/w640-h426/mtibwaofficial-185496967_1671170116411886_6732269997822491634_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpsWgFKJO5DWqpc5et4s2u7pcIxWTtDFfDabsr3GHA6LI8s7eLq6ZJ1DiB1eW_QtacduSfzooKVj3zZmYCGHbDqUC1C_Y3U5ojQPjL2qaJ4mH8T9OcGXGdwkuMKOz3iDLhos8bqIgNSmVL/s72-w640-c-h426/mtibwaofficial-185496967_1671170116411886_6732269997822491634_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mtibwa-sugar-tupo-sehemu-mbaya-tena-sana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mtibwa-sugar-tupo-sehemu-mbaya-tena-sana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy