KUMBE, JUMA MWAMBUSI BADO YUPO YANGA
HomeMichezo

KUMBE, JUMA MWAMBUSI BADO YUPO YANGA

 IPO wazi kuwa aliyekuwa  Kaimu Kocha  Mkuu wa Yanga, Juma  Mwambusi, bado ana  mkataba na klabu hiyo  unaotarajiwa kumalizika  Juni 30, m...


 IPO wazi kuwa aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, bado ana mkataba na klabu hiyo unaotarajiwa kumalizika Juni 30, mwaka huu.

 

Mwambusi alikaimu nafasi hiyo baada ya Yanga kulivunja benchi la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze raia wa Burundi.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mwambusi alisema: “Nipo ingawa sionekani Yanga kama zamani kwa sababu kama benchi la ufundi limekamilika na mwalimu amekuja na watu wake, hivyo siwezi kuwepo kwa sababu hiyo.

 

“Lakini nipo Yanga, ukiangalia kuna vitengo vingi na viongozi wenyewe wamenipa kitengo kingine cha kukaa ili kushughulika na timu yetu.

 

“Bado nina mkataba na Yanga na utamalizika mwishoni mwa mwezi wa sita.”


Spoti Xtra lilimtafuta Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa kuzungumzia suala la Mwambusi na nafasi gani anashika kwa sasa ndani ya kikosi hicho, alisema:-“Mkataba wake kweli unaisha Juni 30, na alipewa mkataba wenye kipengele cha kuachia benchi pindi benchi jipya likipatikana.


“Tayari benchi jipya limepatikana ndiyo maana yeye hayupo,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KUMBE, JUMA MWAMBUSI BADO YUPO YANGA
KUMBE, JUMA MWAMBUSI BADO YUPO YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeTHgcrjRAxMopXcemlrmwN98nGMJ1zT1iNsA63xfQ4fyQwA0WP4UEIpQj1DYEvmy2otZWfE9E84zdwCV5IOm3UQP64SBGLw1hi1qmD6KHAW9TuWskqOiuKS2m8Jw4WYyDvTGT9TiNnoG7/w640-h640/Mwambusi+na+Michael.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeTHgcrjRAxMopXcemlrmwN98nGMJ1zT1iNsA63xfQ4fyQwA0WP4UEIpQj1DYEvmy2otZWfE9E84zdwCV5IOm3UQP64SBGLw1hi1qmD6KHAW9TuWskqOiuKS2m8Jw4WYyDvTGT9TiNnoG7/s72-w640-c-h640/Mwambusi+na+Michael.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kumbe-juma-mwambusi-bado-yupo-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kumbe-juma-mwambusi-bado-yupo-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy