SIMBA WAMFUATA BEKI HUYU KITASA WAMPE DILI
HomeMichezo

SIMBA WAMFUATA BEKI HUYU KITASA WAMPE DILI

  BEKI wa kulia wa AS Vita, Djuma Shabani amekiri kuwa ni kweli alifuatwa na viongozi wa Simba ili kuangalia uwezekano wa kujiunga nao mw...

 


BEKI wa kulia wa AS Vita, Djuma Shabani amekiri kuwa ni kweli alifuatwa na viongozi wa Simba ili kuangalia uwezekano wa kujiunga nao mwishoni mwa msimu.

Djuma amekuwa katika kiwango bora ndani ya AS Vita ambapo msimu huu katika michuano yote aliyoichezea timu hiyo amefunga mabao 6 na kutoa pasi tano za mabao.

Akizungumzia uwezekano wa kutua Simba Djuma amesema: “Ni kweli kuna baadhi ya viongozi wa Simba walinitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali ya usajili lakini siwezi kulizungumzia sana hilo kwa sasa.

"Hii ni kwa sababu wote kwa sasa tunapambana kuzisaidia timu zetu zifanye vizuri katika michuano ya kimataifa ikizingatiwa tupo kundi moja, " .

Ikiwa nyota huyo atamalizana na mabosi wa Simba atakwenda kuongeza nguvu upande wa beki wa kulia na kusaidiana na Shomari Kapombe ambaye ni chaguo namba moja la Didier Gomes.  




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA WAMFUATA BEKI HUYU KITASA WAMPE DILI
SIMBA WAMFUATA BEKI HUYU KITASA WAMPE DILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjEO00hiAcpplh9mC4KY877qZNCvWy40b4eovVcktSdPn3FC5isPPDxcum7Gpeytv5IhWsWpYHiuPq0_jv1i9J9WKSd9FKova1SnkKpim7lugBxJplfPl-5axfFuBy0MJw3LlZm832XpaE/w640-h640/IMG_20210315_092212_523.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjEO00hiAcpplh9mC4KY877qZNCvWy40b4eovVcktSdPn3FC5isPPDxcum7Gpeytv5IhWsWpYHiuPq0_jv1i9J9WKSd9FKova1SnkKpim7lugBxJplfPl-5axfFuBy0MJw3LlZm832XpaE/s72-w640-c-h640/IMG_20210315_092212_523.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-wamfuata-beki-huyu-kitasa-wampe.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-wamfuata-beki-huyu-kitasa-wampe.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy