FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA YAWEZA KUPIGWA WEMBLEY
HomeMichezo

FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA YAWEZA KUPIGWA WEMBLEY

 MABOSI wa Shirikisho la Soka Ulaya, (UEFA) wapo tayari kuihamishia fainali ya Ligi ya  Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Wembley ila ikiwa ...

SIIMBA YAUNGURUMA KWA KUITANDIKA 2-0 NDANDA FC
CRISTIANO RONALDO AACHANA NA MCHUMBA WAKE, KISA……………
AFCON kutimua vumbi Jan.17

 MABOSI wa Shirikisho la Soka Ulaya, (UEFA) wapo tayari kuihamishia fainali ya Ligi ya  Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Wembley ila ikiwa Serikali ya Uingereza itakubali.

Uefa ilianza mipango hiyo hivi karibuni mara baada ya timu zote za nchi hiyo kufanikiwa kuingia fainali ya michuano hiyo husika.

Timu ambazo zimetinga fainali ya Uefa ni pamoja na mabingwa wa Ligi Kuu England, Manchester City pamoja na Chelsea.

Inaelezwa kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson alitarajiwa kukutana na Rais wa Uefa, Aleksander Ceferin kwa ajili ya mjadala huo kwa kuwa Uturuki ambao walipewa tenda ya kuandaa walitajwa na Uingereza kama nchi hatarishi katika maambukizi ya Janga la Corona.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA YAWEZA KUPIGWA WEMBLEY
FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA YAWEZA KUPIGWA WEMBLEY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimsotOtEjAyQYM6QssheT64Pi2EEg_de_5S_AMjjmU1vdIvhRvY3vtfrOQqb34qN_p4RiKyZULXs0pdg1w4f1l8umwfGqE_AYBLxi8xWCJPJMN7ZWE1t6hSBm9qm11ig-t2fTonFlRK5mD/w640-h478/Wembley+Uwanja.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimsotOtEjAyQYM6QssheT64Pi2EEg_de_5S_AMjjmU1vdIvhRvY3vtfrOQqb34qN_p4RiKyZULXs0pdg1w4f1l8umwfGqE_AYBLxi8xWCJPJMN7ZWE1t6hSBm9qm11ig-t2fTonFlRK5mD/s72-w640-c-h478/Wembley+Uwanja.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/fainali-ya-ligi-ya-mabingwa-ulaya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/fainali-ya-ligi-ya-mabingwa-ulaya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy