AZAM FC : TUTAZIDI KUPAMBANIA JAMBO LETU
HomeMichezo

AZAM FC : TUTAZIDI KUPAMBANIA JAMBO LETU

 NAHODHA wa kikosi cha Azam FC, Agrey Morris amesema kuwa bado wana kazi ya kufanya kwa ajili ya kutimiza malengo yao ndani ya Ligi Kuu Ba...

SIMBA YAWAITA MASHABIKI KUELEKEA SIMBA DAY
WANAJESHI WA MPAKANI, KAZINI LEO KIMATAIFA
HAJI MANARA: YANGA INA MATAJI MENGI KULIKO TIMU YOYOTE

 NAHODHA wa kikosi cha Azam FC, Agrey Morris amesema kuwa bado wana kazi ya kufanya kwa ajili ya kutimiza malengo yao ndani ya Ligi Kuu Bara.

Azam FC ipo ndani ya tatu bora ikiwa inapambania kutimiza lengo la kutwaa taji la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mikononi mwa Simba.

Kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 60 baada ya kucheza jumla ya mechi 30, Yanga nafasi ya pili na pointi 61 imecheza mechi 29 na Simba namba moja imecheza mechi 25.

Nahodha huyo mzawa amesema:"Tunajua kwamba tuna jambo ambalo tunapaswa kutimiza, tutapambana katika mechi zetu ambazo zimebaki ili kupata matokeo chanya.

"Ushindani ni mkubwa na kila mchezaji anajua hilo jambo ambalo linatufanya tuzidi kupambana muda wote," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC : TUTAZIDI KUPAMBANIA JAMBO LETU
AZAM FC : TUTAZIDI KUPAMBANIA JAMBO LETU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUuVMg2-XzfbR2v60sHrHi-TQXEzF6ZGME45j1aMrAvuXYkvhFBcwXBjScBSI8NBM8Y6pZXIbYKSUKrxsy226HIcVGlZW1nDhlIb0QWThcrsMlSRcqEPlRoQEly9NtuYszfzeyD00pQjQl/w640-h640/Azam+kushangilia.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUuVMg2-XzfbR2v60sHrHi-TQXEzF6ZGME45j1aMrAvuXYkvhFBcwXBjScBSI8NBM8Y6pZXIbYKSUKrxsy226HIcVGlZW1nDhlIb0QWThcrsMlSRcqEPlRoQEly9NtuYszfzeyD00pQjQl/s72-w640-c-h640/Azam+kushangilia.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-tutazidi-kupambania-jambo-letu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-tutazidi-kupambania-jambo-letu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy