AUBA AKUBALI KULAUMIWA MWENDO MBOVU WA ARSENAL
HomeMichezo

AUBA AKUBALI KULAUMIWA MWENDO MBOVU WA ARSENAL

 NAHODHA wa kikosi cha Arsenal, Pierre Aubameyang,  kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta amesema kuwa sababu kubwa ya kutokuwa kwenye...

LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA
KAZADI AMTAJA NYOTA ALIYEMSHAWISHI KUJIUNGA YANGA
VIDEO: YANGA YAAPA KULIPA KISASI, MANARA AFUNGUKA MAZITO

 NAHODHA wa kikosi cha Arsenal, Pierre Aubameyang,  kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta amesema kuwa sababu kubwa ya kutokuwa kwenye ubora wake ni kuumwa jambo ambalo lilimfanya apungue kilo kadhaa.

Arsenal imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua ndani ya uwanja na imeshindwa kutinga hatua ya fainali ya Europa League baada ya kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wao walipocheza na Villarreal inayonolewa na Unai Emery.

Emery ambaye aliwahi kuifundisha timu hiyo na kufutwa kazi alikiongoza kikosi chake kushinda mchezo wa kwanza kwa mabao 2-1 na ule wa pili ubao ulisoma Arsenal 0-0 Villarreal.

Auba raia wa Gabon mwenye miaka 31 amesema kuwa anaweza kubeba lawama kwa timu yake kushindwa kufanya vizuri kwa sababu hajatimiza majukumu yake kwa kuwa anacheza chini ya kiwango.

"Wanaonikosoa naumia lakini lazima nikubali kwa kuwa nimecheza chini ya kiwango. Baada ya kuugua Malaria nilipungua kilo kadhaa na hata ubora ukawa chini,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AUBA AKUBALI KULAUMIWA MWENDO MBOVU WA ARSENAL
AUBA AKUBALI KULAUMIWA MWENDO MBOVU WA ARSENAL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhp6G4w-NECthEDSJ9d9hVjqPseA1oW0CjcGAO0isQGbdG8ObbZgkkuKJRV34nr6udCtJT26zhEns9AS5U72KgipEzA8kyHc74ZKc76Bqx-hA9rh1mNGoUPy3_xma2Hpp2Fvndtaqu-jUkS/w640-h414/Auba+tikitaka.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhp6G4w-NECthEDSJ9d9hVjqPseA1oW0CjcGAO0isQGbdG8ObbZgkkuKJRV34nr6udCtJT26zhEns9AS5U72KgipEzA8kyHc74ZKc76Bqx-hA9rh1mNGoUPy3_xma2Hpp2Fvndtaqu-jUkS/s72-w640-c-h414/Auba+tikitaka.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/auba-akubali-kulaumiwa-mwendo-mbovu-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/auba-akubali-kulaumiwa-mwendo-mbovu-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy