Wabunge wataka wazee wa mabaraza kuongezewa posho
HomeHabari

Wabunge wataka wazee wa mabaraza kuongezewa posho

Wabunge  wameishauri Serikali kurejea upya viwango vya posho za wazee wa mabaraza ya Sh5,000 kwa kesi wakidai ni fedha kidogo. Mwenyeki...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Agost 4
Barakoa lazima katika vyombo vya usafiri Dar es Salaam - RC Makalla.
Wakurugenzi Wapya wa Halmashauri za Jiji, Manispaa , Miji na Wilaya Watakiwa Kuripoti Makao Makuu TAMISEMI


Wabunge  wameishauri Serikali kurejea upya viwango vya posho za wazee wa mabaraza ya Sh5,000 kwa kesi wakidai ni fedha kidogo.

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Sillo  Baran ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya mfuko wa mahakama kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Amesema kamati inaendelea kuishauri Serikali kuhusu kurejewa upya kwa viwango vya posho za wazee wa mabaraza ambao wanalipwa Sh5,000 tu kwa kesi kiasi ambacho ni kidogo  ikizingatiwa muda unaochukua kesi kuamuliwa.

“Hatua hii itasaidia kuziba mianya ya rushwa lakini pia itaongeza motisha, tija na ufanisi katika kazi za mabaraza husika,” amesema.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wabunge wataka wazee wa mabaraza kuongezewa posho
Wabunge wataka wazee wa mabaraza kuongezewa posho
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-8OjfrmzAxAe4_Z59D_Kd-fybOENyhDOLl9RlMw7JH59YzKEzVbX8qOP7ozW5nGj0zjHuMFXutd79VNxy1oZLFkHMT087o41lknvM7OPgP3vrHtUHFbklESo9d2AnCPAr4PHmOADdlJJy/s16000/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-8OjfrmzAxAe4_Z59D_Kd-fybOENyhDOLl9RlMw7JH59YzKEzVbX8qOP7ozW5nGj0zjHuMFXutd79VNxy1oZLFkHMT087o41lknvM7OPgP3vrHtUHFbklESo9d2AnCPAr4PHmOADdlJJy/s72-c/2.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/wabunge-wataka-wazee-wa-mabaraza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/wabunge-wataka-wazee-wa-mabaraza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy