MTIBWA SUGAR WATAJA UIMARA WA SIMBA ULIPO
HomeMichezo

MTIBWA SUGAR WATAJA UIMARA WA SIMBA ULIPO

KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Soud Slim amesema kuwa  wanatambua uimara wa safu ya ushambuliaji ya Simba inayoongozwa na Meddie...

HIKI HAPA KIKOSI CHA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
YANGA YAWAFUATA KAGERA SUGAR KWA KUJIAMINI
SIMBA KUIBUKIA KWA WANAJESHI WA MPAKANI

KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Soud Slim amesema kuwa 
wanatambua uimara wa safu ya ushambuliaji ya Simba inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco wenye mabao tisa kwa kila mmoja.

Ikiwa ipo nafasi ya 15 na pointi zao ni 24 itapambana na Simba iliyo nafasi ya tatu na pointi 46.

Safu ya ushambuliaji ya Mtibwa Sugar imefunga jumla ya mabao 9 inakutana na ile safu ya ushambuliaji ya Simba ambayo imefunga jumla ya mabao 46.

Akizungumza na Saleh Jembe, Slim amesema kuwa:"Tunatambua kwamba wametoka kushiriki mashindano ya kimataifa na wana safu nzuri ya ushambuliaji, hilo tutalifanyia kazi kwa kuwa tunahitaji pointi tatu.



"Wachezaji wapo tayari na wanatambua kwamba kazi kubwa itakuwa baada ya dakika 90. Mashabiki wajitokeze sisi tupo tayari," amesema.

Mtibwa Sugar imetoka kupoteza mchezo wake wa ligi kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC inakutana na Simba ambayo imetoka kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTIBWA SUGAR WATAJA UIMARA WA SIMBA ULIPO
MTIBWA SUGAR WATAJA UIMARA WA SIMBA ULIPO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEih7BlaGFQLcxftQJD_qRv2yK9v3QFKBBfFeYSNE8v9fFhe3pAzR4YJxXinXY3NPuzSyS8quGc9BFlIybMFnterW5VvqUpGCaEN7V8Pp5olenXuMQoNsHxIMiYfHWySrabbyIy15jXkPyD8/w640-h436/Mtibwa+Rukwa.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEih7BlaGFQLcxftQJD_qRv2yK9v3QFKBBfFeYSNE8v9fFhe3pAzR4YJxXinXY3NPuzSyS8quGc9BFlIybMFnterW5VvqUpGCaEN7V8Pp5olenXuMQoNsHxIMiYfHWySrabbyIy15jXkPyD8/s72-w640-c-h436/Mtibwa+Rukwa.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mtibwa-sugar-wataja-uimara-wa-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mtibwa-sugar-wataja-uimara-wa-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy