MRUNDI WA YANGA APATA OFA TATU MEZANI
HomeMichezo

MRUNDI WA YANGA APATA OFA TATU MEZANI

  M SHAMBULIAJI  wa Yanga,  Fiston Abdoul Razack ambaye  mkataba wake unamalizika  mwishoni mwa msimu huu, tayari  ameanza mazungumzo na k...

MOLINGA,CHIRWA WAMPA MATUMAINI MAKUBWA KOCHA
SIMBA NA YANGA KUANDIKA REKODI MPYA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Abdoul Razack ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu, tayari ameanza mazungumzo na klabu tatu tofauti ambazo zimeonyesha nia ya kuhitaji saini yake.

 

Fiston aliyejiunga na Yanga Januari, mwaka huu, mkataba wake na Yanga umebaki takribani miezi miwili kabla ya kumalizika.


 Nyota huyo raia wa Burundi baada ya kujiunga na Yanga bado hajaonyesha makeke yake kwenye kikosi hicho tofauti na wengi walivyokuwa wakifikiria.


Ametupia  bao moja kwenye ligi kuu na FA moja. Timu yake ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa na pointi 54 baada ya kucheza mechi 25.


 Mrundi huyo amesema: “Kila mtu anaweza kuwa anajiuliza je, nimeongezewa mkataba au hatima yangu itakuwaje bila kutaka kujua je, ikinibidi kuongeza mkataba nipo tayari?

 

“Ndio, nipo kwenye mazungumzo na klabu zaidi ya tatu na tukifikia makubaliano mtazijua, pia sihitaji kuulizwa maswali kuhusu mkataba, ngoja niweke akili yangu kwenye mechi zilizobaki, bado tuna kazi ngumu ya kupigania ubingwa.”


Chanzo:Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MRUNDI WA YANGA APATA OFA TATU MEZANI
MRUNDI WA YANGA APATA OFA TATU MEZANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2AoL7Df5bMWoZ39fMcpbsQq0rcN7nanV4LTk039OB1-usLYigO6M8KoUhHmuJM_TAQBG7ZT87wPyyxlt9J7Y2xeOROVN020hlFc1oE_v0jj64lBCIjb_YixY6xxsCKZEPSnkDraOqwOJM/w640-h640/Fiston+mazoezi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2AoL7Df5bMWoZ39fMcpbsQq0rcN7nanV4LTk039OB1-usLYigO6M8KoUhHmuJM_TAQBG7ZT87wPyyxlt9J7Y2xeOROVN020hlFc1oE_v0jj64lBCIjb_YixY6xxsCKZEPSnkDraOqwOJM/s72-w640-c-h640/Fiston+mazoezi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mrundi-wa-yanga-apata-ofa-tatu-mezani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mrundi-wa-yanga-apata-ofa-tatu-mezani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy