Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini ajisalimisha polisi
HomeHabari

Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini ajisalimisha polisi

Vyombo vya usalama nchini Afrika Kusini vimethibitisha kwamba aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma amejisalimisha mwenyewe polisi, iki...

Marais Wastaafu, Viongozi Waandamizi Wa Serikali Na Mabalozi Wamlilia Magufuli
PICHA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akitoa Heshima Za Mwisho Kwa Hayati Dr Magufuli
PICHA 14: Rais Samia Alivyoongoza Viongozi Na Wananchi Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Kuaga Mwili Wa Hayati Magufuli


Vyombo vya usalama nchini Afrika Kusini vimethibitisha kwamba aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma amejisalimisha mwenyewe polisi, ikiwa imepita wiki moja tangu alipopatikana na hatia ya kuidharau Mahakama kufuatia kesi yake ya ufisadi na kuhukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani.

Taarifa zaidi zinasema kuwa, usiku wa kuamkia leo umekuwa ni wa kwanza gerezani kwa Jacob Zuma, baada ya kujisalimisha mwenyewe kwa mamlaka husika jana usiku.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, Rais huyo mstaafu ameamua kutii agizo la kufungwa kwake.

Baada ya kufikia makubaliano ya kujisalimisha kwake na ujumbe wa polisi uliofika nyumbani kwake mapema jana, Rais mstaafu wa Afrika kusini Jacob Zuma, akisindikizwa na walinzi wake alienda katika gereza lililo karibu na nyumbani kwake katika jimbo la KwaZulu Natal.

Baadhi ya wafuasi wake waliokuwa wamekusanyika nje ya nyumba yake walionyesha kutofurahishwa kuhukumiwa kifungo gerezani kiongozi wao huyo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini ajisalimisha polisi
Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini ajisalimisha polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9qSVXcXFCKMvE3hNGWHGAqvqqDPb3sMGo0u2FIngqHmA2jLskvkJDeSBI-D_naqPasQd5ha8YShoe8iYu6aagm2pEVcNwlwgbh33Kw80h-pxh38ueV912rj6oeMG_LAVwcmBSLTtb5zXC/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9qSVXcXFCKMvE3hNGWHGAqvqqDPb3sMGo0u2FIngqHmA2jLskvkJDeSBI-D_naqPasQd5ha8YShoe8iYu6aagm2pEVcNwlwgbh33Kw80h-pxh38ueV912rj6oeMG_LAVwcmBSLTtb5zXC/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/jacob-zuma-rais-wa-zamani-wa-afrika.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/jacob-zuma-rais-wa-zamani-wa-afrika.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy