YANGA: MALENGO YETU YAPO PALEPALE
HomeMichezo

YANGA: MALENGO YETU YAPO PALEPALE

  UONGOZI wa Yanga umesema kuwa malengo yao makubwa ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo wanaloamini kwamba litatimia. Kweny...

DUH! KUMBE KINACHOKERA KWA BERNARD MORISSON NI GUU LAKE
KAZE:NILIWASOMA MTIBWA SUGAR ZANZIBAR
LIVERPOOL YACHANA MKEKA ANFIELD

 


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa malengo yao makubwa ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara jambo wanaloamini kwamba litatimia.


Kwenye mzunguko wa kwanza Yanga ilianza kwa kasi nzuri na ilicheza jumla ya mechi 19 bila kupoteza ila ilipocheza mechi tano ilibadili benchi la ufundi kwa kumfuta kazi Zlatko Krmpotic. 


Mrithi wa mikoba yake, Cedric Kaze yeye aliongoza Kwenye mechi 18, alishinda 10, sare 7 na kichapo moja akachimbishwa Machi 7 kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo mbovu wa timu.


Ikiwa ipo nafasi ya Kwanza imekuwa ikipata presha kubwa kutoka kwa watani zao wa jadi Simba ambao ni Mabingwa watetezi wapo nafasi ya pili na pointi zao ni 46 huku vinara wakiwa na pointi 50.


Mshindo Msola Mwenyekiti wa Yanga amesema:"Malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara yapo palepale,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: MALENGO YETU YAPO PALEPALE
YANGA: MALENGO YETU YAPO PALEPALE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg68ziFyFS5gjGf6uXbuBR3PFSMuA-9dcqrY47LI_P9hPREq36gQ2L8tmrt42-ihOypanNDZGPr3F4hFkpWxPGFWsvkFWJuSx5naZLyAIXi4u583UWOancPd9Jabs9SCzRMQoXd698OG1yE/w640-h632/IMG_20210316_082110_253.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg68ziFyFS5gjGf6uXbuBR3PFSMuA-9dcqrY47LI_P9hPREq36gQ2L8tmrt42-ihOypanNDZGPr3F4hFkpWxPGFWsvkFWJuSx5naZLyAIXi4u583UWOancPd9Jabs9SCzRMQoXd698OG1yE/s72-w640-c-h632/IMG_20210316_082110_253.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-malengo-yetu-yapo-palepale.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-malengo-yetu-yapo-palepale.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy