YACOUBA, JEMBE LA KAZI NDANI YA YANGA KUIBUKIA MKWAKWANI
HomeMichezo

YACOUBA, JEMBE LA KAZI NDANI YA YANGA KUIBUKIA MKWAKWANI

 MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Yanga,  Yacouba Songne huenda kesho ataanza kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ya Tanga baada ya...

RASMI BEKI AS VITA ASAINI MIAKA MIWILI, AWAAGA WACHEZAJI WAKE
SIMBA YAMPIGIA HESABU MSHAMBULIAJI WA AL AHLY, WAKALA ABAINISHA
INJINIA: MANJI AKIJA, YANGA ITAKUWA BORA AFRIKA

 MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Yanga, Yacouba Songne huenda kesho ataanza kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ya Tanga baada ya kukosekana uwanjani kwa muda.

Nyota huyo raia wa Burkina Faso alikuwa nje ya uwanja akitibu maumivu yake ya mgongo ambayo aliyapata kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar.

Hakuwa kwenye kikosi kilicholazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Kagera Sugar wala kile kilichoshinda ba 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa.

Pia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora hakuwa sehemu ya kikosi hicho wakati Yanga ikishinda bao 1-0.

Yupo na kikosi ambacho kipo Tanga kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union ambapo alikuwa kwenye sehemu ya kikosi cha kwanza  kilichoshinda mabao 3-0 Uwanja wa Mkapa.

Yanga ikiwa imecheza jumla ya mechi 21 na kufunga mabao 34 amehusika kwenye mabao nane ambapo amefunga mabao manne na ametoa jumla ya pasi nne za mabao.


Alifungua akaunti yake ya mabao mbele ya Coastal Union ya Juma Mgunda kwa pasi ya mshkaji wake Mukoko Tonombe.

Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kurejea kwa nyota huyo ndani ya uwanja ni nguvu ya kikosi kuendelea kusaka ushindi.

"Yacouba naye hali yake ni njema hivyo kurejea kwake ndani ya uwanja kunaongeza upana wa kikosi na hilo ni jambo jema kwa timu,".


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YACOUBA, JEMBE LA KAZI NDANI YA YANGA KUIBUKIA MKWAKWANI
YACOUBA, JEMBE LA KAZI NDANI YA YANGA KUIBUKIA MKWAKWANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjb2QM5uj6d9O0A8o_LRQcFxMFUxj8tnVFDa64tpXEXcovm8vVKcI1ebHYG7cAsPrv8Zr51pyN4g185ILoNZhwYkuEOiv2lLGpGCH0dGgw5fFTVMR0mZOI_208Y5IpX4t89rJfZixj2FGK/w640-h568/Yacouba+kushangilia.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjb2QM5uj6d9O0A8o_LRQcFxMFUxj8tnVFDa64tpXEXcovm8vVKcI1ebHYG7cAsPrv8Zr51pyN4g185ILoNZhwYkuEOiv2lLGpGCH0dGgw5fFTVMR0mZOI_208Y5IpX4t89rJfZixj2FGK/s72-w640-c-h568/Yacouba+kushangilia.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yacouba-jembe-la-kazi-ndani-ya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yacouba-jembe-la-kazi-ndani-ya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy