VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI
HomeMichezo

VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI

  B EKI  wa kati Virgil  van Dijk ameanza  kuwapa furaha  mashabiki wa timu  yake ya Liverpool baada ya  kuweka video mtandaoni   ikimuony...

Fabregas:Messi hawezi kuondoka Barcelona
Liverpool yaimarisha matokeo yake
Arsenal set to move for Legia Warsaw midfielder Krystian Bielik

 BEKI wa kati Virgil van Dijk ameanza kuwapa furaha mashabiki wa timu yake ya Liverpool baada ya kuweka video mtandaoni ikimuonyesha akifanya mazoezi ya kukimbia ikiwa ni mwendelezo wa kurejea uwanjani.

 

Beki huyo Mholanzi amekuwa nje ya uwanja tangu Octoba mwaka jana baada ya kuumia mfupa wa mguu alipokuwa akiwania mpira na kipa wa Everton, Jordan Pickford.

 

Baada ya kuumia ilielezwa kuwa atakosa msimu wote huu wa 2020/21 uliosalia lakini video hiyo imeanza kuonyesha mwanga mzuri wa kurejea kwake.

 

Kwa hatua ilivyo sasa kuna uwezekano wa kurejea katika moja ya mechi tano za mwisho kabla ya msimu kumalizika.

 

Van Dijk alikuwa akifanya mazoezi hayo katika viwanja vya mazoezi vya Liverpool, ambapo baada ya hapo video hiyo ilipata maoni mengi hasa kutoka kwa mashabiki wa timu yake.“Rudi utukuokoe” yalisomeka sehemu ya maoni ya mashabiki mtandaoni.

 

Kukosekana kwa Van Dijk kumekuwa na pengo kubwa kwa kuwa timu yake imeyumba katika safu ya ulinzi kiasi cha kumvuruga kichwa Kocha Jurgen Klopp hasa kwa kuwa pia alipata majeruhi wengine kadhaa katika nafasi ya ulinzi.

 

Likimuonyesha akifanya kwa hatua ilivyo sasa kuna uwezekano wa kurejea katika moja ya mechi tano za mwisho kabla ya msimu kumalizika. Mazoezi hayo katika viwanja vya mazoezi vya Liverpool, ambapo baada ya hapo video hiyo ilipata maoni mengi hasa kutoka kwa mashabiki wa timu yake.

 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI
VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGFwwaZVT1T7XKvLmmnZ3iyGZC0EQUwrZDWH__a4uJPvUE0P7gvrPVYVi9cyzJPiZu0I8PuPjcolgdD8a63tzabh8i7Zb7KO6c2l2B3n9aNWro9ouOKSdkfqxLSvYQRYlND6awfRzpchJq/w640-h426/Dijk+na+evarton.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGFwwaZVT1T7XKvLmmnZ3iyGZC0EQUwrZDWH__a4uJPvUE0P7gvrPVYVi9cyzJPiZu0I8PuPjcolgdD8a63tzabh8i7Zb7KO6c2l2B3n9aNWro9ouOKSdkfqxLSvYQRYlND6awfRzpchJq/s72-w640-c-h426/Dijk+na+evarton.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/van-dijk-aanza-mazoezi-arejesha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/van-dijk-aanza-mazoezi-arejesha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy