SIMBA WASITISHA MAZOEZI, SABABU NI AS VITA
HomeMichezo

SIMBA WASITISHA MAZOEZI, SABABU NI AS VITA

 KOCHA Mkuu wa  Simba, Mfaransa, Didier  Gomes, amewataka  wachezaji wake wote wa  kigeni waliopo kwenye  majukumu ya timu za taifa  kuhak...

VIDEO:KUMBE CARLINHOS HAKUWA NA FURAHA YANGA, ALIGOMA KULA
VIDEO: SHILOLE AMVAA BABA LEVO KISA TAULO
KAHATA KUSEPA MAZIMA SIMBA, KISA DAU

 KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amewataka wachezaji wake wote wa kigeni waliopo kwenye majukumu ya timu za taifa kuhakikisha wanaripoti kambini Machi 30, mwaka huu ili kuendelea na maandalizi ya mechi za kimataifa.

Miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao wapo kwenye timu zao za taifa ni pamoja na Perfect Chikwende, Luis Miquissone, Clatous Chama, Meddie Kagere, Shomari Kapombe, Mohamed Hussin, Aishi Manula.

 

Simba itavaana na AS Vita, Aprili 3, mwaka huu mchezo utakaopigwa saa kumi kamili jioni kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

 

Kocha amesitisha mazoezi kuanzia Ijumaa hadi Jumatatu lengo ni kuhakikisha wanasubiri wachezaji waliopo kwenye timu za taifa ili watakapojiunga waanze program ya pamoja kwani awali walikuwa wakifanya nane tu mazoezi.


Timu hizo zitavaana katika mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ule wa awali uliopigwa huko Kinshasa, Congo ulimalizika kwa Simba kushinda bao 1-0 ambalo lilifungwa na Mkongomani Chris Mugalu.


 Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu alisema kuwa tayari wamewapa taarifa wachezaji wao wote waliopo timu za taifa kuhakikisha wanaripoti Machi 30 wakati timu zote zitakapomaliza michezo ya timu za taifa.


“Tumepanga wachezaji waliopo katika timu za taifa kuripoti kambini hadi kufikia Machi 30 kwa wale wa kigeni.


“Wachezaji wa kigeni wengi mechi zao zinachezwa kati ya Machi 29 na 30, mwaka huu hivyo mara baada ya michezo hiyo haraka watatakiwa kuungana na wachezaji wenzao waliopo Stars kwa ajili ya kuanza maandalizi ya AS Vita,” alisema Rweyemamu.


Chanzo: Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA WASITISHA MAZOEZI, SABABU NI AS VITA
SIMBA WASITISHA MAZOEZI, SABABU NI AS VITA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBraUS1JVth-F4okPzIn-4AB_qvZr_c4GFnHgKHfGJHmdwRh5ME0yS8J3SwNZne_6j-zkZVpxe8cwqTj3Sq5L1Wdh65eVrhBohREQiYtkQUmOxJy8HWBecITOgo_rKmzBxDuy43m8B4_Hm/w640-h546/boko+bana.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBraUS1JVth-F4okPzIn-4AB_qvZr_c4GFnHgKHfGJHmdwRh5ME0yS8J3SwNZne_6j-zkZVpxe8cwqTj3Sq5L1Wdh65eVrhBohREQiYtkQUmOxJy8HWBecITOgo_rKmzBxDuy43m8B4_Hm/s72-w640-c-h546/boko+bana.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-wasitisha-mazoezi-sababu-ni-as.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-wasitisha-mazoezi-sababu-ni-as.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy