MUANGOLA WA YANGA BADO HAWEZI KUCHEZA LIGI YA BONGO
HomeMichezo

MUANGOLA WA YANGA BADO HAWEZI KUCHEZA LIGI YA BONGO

  MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa anaona wazi kwamba kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlin...

VIDEO:VIKOSI VITATU VYA YANGA, MIFUMO MITATU INAJIBU
LIVERPOOL YAANZA KWA USHINDI, SALAH AWEKA REKODI
YANGA KUANZA KUWAVUTIA KASI WANAIJERIA, KAMBI YAO MOROCCO KUANZA LEO

 MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Mwalimu Alex Kashasha amesema kuwa anaona wazi kwamba kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos hawezi kucheza ndani ya kikosi hicho kutokana na kasi ya Ligi Kuu Bara.

Carlinhos, raia wa Angola ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho ambacho kipo chini ya Kaimu Kocha, Juma Mwambusi baada ya Cedric Kaze kufutwa kazi, Machi 7.

Kwa sasa Yanga ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya ambapo imeweka wazi kwamba imepata zaidi ya CV 72.

Kashasha amesema:-”Naona kwamba bado Carlinhos hajawa na ile nguvu ya kucheza ndani ya Yanga kwa sababu mpira ule wa kugonganagongana ndani ya uwanja anaonekana hauwezi, yaani ni aina ya wachezaji ambao hawataki shida jambo ambalo halipo kwenye ligi yetu," .

Ndani ya ligi Muangola huyo amecheza jumla ya mechi sita na amehusika kwenye jumla ya mabao matatu na ana pasi mbili za mabao kati ya 36 yalifungwa na timu hiyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MUANGOLA WA YANGA BADO HAWEZI KUCHEZA LIGI YA BONGO
MUANGOLA WA YANGA BADO HAWEZI KUCHEZA LIGI YA BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgggTSyxz1c5dl6CTfQiebDLsMTRvPviMcHQEX2RcFf1x39YIVaYPSMlQCEloZZ8qfqvTBNQiuaZewoRvefcIFWODWGXaYMkpE4g-S5c9so4Jbyqu0yKnF_RxI09lJ-NbXgjA6UM3KKg_7-/w640-h640/Muangola+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgggTSyxz1c5dl6CTfQiebDLsMTRvPviMcHQEX2RcFf1x39YIVaYPSMlQCEloZZ8qfqvTBNQiuaZewoRvefcIFWODWGXaYMkpE4g-S5c9so4Jbyqu0yKnF_RxI09lJ-NbXgjA6UM3KKg_7-/s72-w640-c-h640/Muangola+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/muangola-wa-yanga-bado-hawezi-kucheza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/muangola-wa-yanga-bado-hawezi-kucheza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy