KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes tayari ameshapata kikosi cha kwanza cha ushindi ndani ya timu hiyo inayoshiriki michuano mikubwa mitatu...
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes tayari ameshapata kikosi cha kwanza cha ushindi ndani ya timu hiyo inayoshiriki michuano mikubwa mitatu.
Kombe la Shirikisho na Ligi Kuu Bara hapa wao ni mabingwa watetezi pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wapo hatua ya makundi na waoangoza kundi A wakiwa na pointi sita.
Leo wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya JKT Tanzania, mchezo wa ligi kisha wana kibarua cha kukwea pipa mpaka Sudan, kusaka ushindi mbele ya Al Merrikh, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Machi 6.
Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Gomes ambacho ameanza kukikubali na akianza nao wamekuwa wakimpa ushindi:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Pascal Wawa
Joash Onyango
Mohamed Hussein
Mzamiru Yassin
Thadeo Lwanga
Rarry Bwalya
Luis
Chris Mugalu
Clatous Chama
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS