MAGUFULI KUAGWA DAR KESHO, KUZIKWA CHATO MACHI 25 - VIDEO
HomeMichezo

MAGUFULI KUAGWA DAR KESHO, KUZIKWA CHATO MACHI 25 - VIDEO

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa shughuli za mazishi ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya M...

RASMI KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC
TIMU ZINAZOPANDA LIGI LAZIMA KUNA JAMBO LINAWAKWAMISHA
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AZAM FC

 


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa shughuli za mazishi ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli zitafanyika Chato Machi 25, 2021 na kusema siku hiyo itakuwa ni siku ya mapumziko.

 

Rais Samia amesema hayo leo Ijumaa, Machi 19, 2021, wakati akilihutubia taifa mara baada ya kula kiapo cha kuwa Rais Tanzania Ikulu jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais Magufuli na kwamba ametangaza kuwa na maombolezo ya siku 21.

 

“Mipango ya mazishi ni kwamba Jumamosi, Machi 20, 2021, mwili wa Hayati Dkt. Magufuli utatolewa Hospitali ya Jeshi Lugalo na kupelekwa Kanisa la St. Peter’s Oysterbay kwa Ibada na baadaye utapelekwa Uwanja wa Uhuru kwa kuagwa na viongozi.

“Machi 21, 2021, wananchi wa Dar es Salaam wataaga mwili wa Hayati Dkt John Magufuli na baadaye utapelekwa Dodoma.

Machi 22, mwili utaagwa na wananchi wa Dodoma na itakuwa siku ya mapumziko.

Machi 23, mwili utaagwa Mwanza na kupelekwa Chato.

"Machi 24, 2021 ni siku ambayo wanafamilia na wananchi wa Chato na maeneo ya jirani wataaga mwili wa Hayati Dkt. Magufuli.

Machi 25, shughuli ya maziko itafanyika baada ya Ibada kanisani Chato, na siku hii pia itakuwa ni mapumziko.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAGUFULI KUAGWA DAR KESHO, KUZIKWA CHATO MACHI 25 - VIDEO
MAGUFULI KUAGWA DAR KESHO, KUZIKWA CHATO MACHI 25 - VIDEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHAsLy15eIEVx91wZDaT0FSCMIg5QB7trxyI4rtyFpfASB7GKYiTbe5kLVrwuL27tQiuNfevzBDgDKMMLkcinPpjZyfG_bpsnkQFofmV1QuL5STQXPp0O_u5ZCPVZdi4YG-rvrk7Yxhga_/w512-h640/SAMIA+%25282%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHAsLy15eIEVx91wZDaT0FSCMIg5QB7trxyI4rtyFpfASB7GKYiTbe5kLVrwuL27tQiuNfevzBDgDKMMLkcinPpjZyfG_bpsnkQFofmV1QuL5STQXPp0O_u5ZCPVZdi4YG-rvrk7Yxhga_/s72-w512-c-h640/SAMIA+%25282%2529.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/magufuli-kuagwa-dar-kesho-kuzikwa-chato.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/magufuli-kuagwa-dar-kesho-kuzikwa-chato.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy