HATMA YA POGBA NDANI YA UNITED YASHIKILIWA NA EUROPA
HomeMichezo

HATMA YA POGBA NDANI YA UNITED YASHIKILIWA NA EUROPA

 HATMA ya kiungo wa Manchester United, Paul Pogba inatarajiwa kujulikana mara baada ya fainali ya Europa League ambayo itapigwa Poland. U...


 HATMA ya kiungo wa Manchester United, Paul Pogba inatarajiwa kujulikana mara baada ya fainali ya Europa League ambayo itapigwa Poland.

United inatarajiwa kucheza mchezo wa fainali ya Europa League, kesho, Mei 26 dhidi ya Villareal.

Kaka wa Pogba, Mathias amesema atazungumza na Kocha Mkuu wa United, Ole Gunnar Solkjaer baada ya fainali hiyo kuhusu nyota huyo raia wa Ufaransa.

Mkataba wa kiungo huyo ndani ya United unatarajiwa kumeguka mwaka 2022 Juni na wakala wake Mino Raiola alinukuliwa akisema kuwa staa huyo hana furaha ndani ya England.

Kaka wa Pogba amesema:"Kama Pogba atashinda taji la Europa League hapo ndipo tutazungumza hatma yake japo anahusishwa kwenda Barcelona pia,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HATMA YA POGBA NDANI YA UNITED YASHIKILIWA NA EUROPA
HATMA YA POGBA NDANI YA UNITED YASHIKILIWA NA EUROPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgijgd-OcdqgsHUQcSAnfbotJ3vMtu1n7l-wyr2mjpHOgZTV1j0xNpWtDnUV4hHxdyX45cZd6vxfbxQzZY-MurwkzoawBTq3AruH3MwueBUbj0p5wcPH2_PVbd74RMBH_vV0ZjkqemljkG8/w640-h452/Pogba+na+Ole+Tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgijgd-OcdqgsHUQcSAnfbotJ3vMtu1n7l-wyr2mjpHOgZTV1j0xNpWtDnUV4hHxdyX45cZd6vxfbxQzZY-MurwkzoawBTq3AruH3MwueBUbj0p5wcPH2_PVbd74RMBH_vV0ZjkqemljkG8/s72-w640-c-h452/Pogba+na+Ole+Tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hatma-ya-pogba-ndani-ya-united.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hatma-ya-pogba-ndani-ya-united.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy