KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA BEACH SOCCER HAJARIDHISHWA NA USHINDI WA MABAO 8-3
HomeMichezo

KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA BEACH SOCCER HAJARIDHISHWA NA USHINDI WA MABAO 8-3

  BONIPHACE Pawasa, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni, (Beach Soccer) amesema kuwa hajaridhishwa na ushindi wa ...

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUZUIWA KWA NAMUNGO NA JESHI ANGOLA
KOCHA SIMBA AFUNGUKIA USHINDI DHIDI YA AS VITA
FISTON: YANGA SC TULIENI, NITAFUNGA TU

 


BONIPHACE Pawasa, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni, (Beach Soccer) amesema kuwa hajaridhishwa na ushindi wa mabao 8-3 walioupata dhidi ya Burundi.

Mchezo huo ambao uliokuwa na ushindani mkubwa ulichezwa jana, Machi 30 ulikuwa ni maalumu kwa ajili ya kuwania tiketi ya kufuzu Afcon uliochezwa kwenye fukwe za Coco Beach, Dar.

Pawasa amesema kuwa kwa namna ambavyo walijiandaa aliamini kwamba wangepata ushindi mkubwa zaidi ya huo ili kuongeza hali ya kujiamini kwa vijana wake.

"Tulifanya maandalizi makubwa na mazuri jambo ambalo lilitupa matumaini kwamba tungepata ushindi mkubwa zaidi ya huu ambao tumeupata.

"Kwa kuwa kuna makosa ambayo tumeyaona tutayafanyia kazi ili wakati ujao tuweze kupata matokeo mazuri zaidi ya hapa.

"Ninawapongeza vijana kwa kazi ambayo wameifanya pamoja na sapoti ya mashabiki ambao wamekuwa wakitupa nguvu sisi kufanya vizuri,".

Mchezo mwingine wa marudio dhidi ya Burundi unatarajiwa kuchezwa Aprili 3,2021



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA BEACH SOCCER HAJARIDHISHWA NA USHINDI WA MABAO 8-3
KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA BEACH SOCCER HAJARIDHISHWA NA USHINDI WA MABAO 8-3
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNRLwfYL1XiO_GYgajpn4pIIwM7XVgI86_rE5Lz4-tGcmQI-jgS0_3brw64JLUxC_hy8lEL7qDqBPs9lxjnyaXulEWMFQQMQHXJ6XYn0s-I7YPWv4WEFoBlgQ3rbLGXvxaR0cfUL5576EH/w640-h428/IMG_20210331_063949_792.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNRLwfYL1XiO_GYgajpn4pIIwM7XVgI86_rE5Lz4-tGcmQI-jgS0_3brw64JLUxC_hy8lEL7qDqBPs9lxjnyaXulEWMFQQMQHXJ6XYn0s-I7YPWv4WEFoBlgQ3rbLGXvxaR0cfUL5576EH/s72-w640-c-h428/IMG_20210331_063949_792.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-wa-timu-ya-taifa-ya-beach-soccer.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-wa-timu-ya-taifa-ya-beach-soccer.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy