KOCHA BARAZA WA BIASHARA UNITED AMTAKA BANDA KIKOSINI
HomeMichezo

KOCHA BARAZA WA BIASHARA UNITED AMTAKA BANDA KIKOSINI

 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa malamiko ya mchezaji wake Omary Banda kwamba hajalipwa mshahara ndani ya kikos...

VIDEO: YANGA YAZUIA UBINGWA, SIMBA YAPORWA KIUNGO HOTELINI
MBEYA CITY: TUNAWAHESIMU SIMBA ,TUNAZITAKA POINTI TATU
BREAKING; RASMI TANZANIA KUTOA TIMU NNE CAF

 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa malamiko ya mchezaji wake Omary Banda kwamba hajalipwa mshahara ndani ya kikosi hicho ni kweli ila bado anahitaji huduma yake.

Nyota huyo hivi karibuni alipeleka malalamiko yake Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kwa kueleza kuwa hajalipwa stahiki zake kwa muda wa miezi mitano.

Pia alieleza kuwa hakupewa huduma baada ya kuumia ndani ya timu hiyo ambayo inashiriki Ligi Kuu Bara.

Baraza amesema:"Ni kweli mchezaji wetu Banda anadai na hajalipwa stahiki zake ila nimeongea na mwenyekiti kuhusu Banda na nimemuomba afanya mpango arudi kwani ni mchezaji mzuri.

"Kuhusu kulipwa ni kweli hata mimi pia bado kuna madai lakini imani ni kwamba nitalipwa, kuhusu malipo mimi sihusiki wenye mamlaka ambao ni viongozi tumeongea watakamilisha," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA BARAZA WA BIASHARA UNITED AMTAKA BANDA KIKOSINI
KOCHA BARAZA WA BIASHARA UNITED AMTAKA BANDA KIKOSINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLAdGeXx1HNxh3ewa76d99d1-D0O1gv-gSotgV1ei2nFHs5xQ2orjlsWG-t9oQt_BKEGti6NtQdvAw5Do5gCC6dlInKhnD8IkS9Xp_LoetW9h75S-B8sO4zPQDqfYJmgA5-tCSKdLgUbpa/w636-h640/Baraza.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLAdGeXx1HNxh3ewa76d99d1-D0O1gv-gSotgV1ei2nFHs5xQ2orjlsWG-t9oQt_BKEGti6NtQdvAw5Do5gCC6dlInKhnD8IkS9Xp_LoetW9h75S-B8sO4zPQDqfYJmgA5-tCSKdLgUbpa/s72-w636-c-h640/Baraza.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-baraza-wa-biashara-united-amtaka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-baraza-wa-biashara-united-amtaka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy