KLABU YA PATRICK AUSSEMS MAJANGA MATUPU, FIFA KUIPIGA PINI USAJILI
HomeMichezo

KLABU YA PATRICK AUSSEMS MAJANGA MATUPU, FIFA KUIPIGA PINI USAJILI

FIFA huenda itaifungia madirisha mawili klabu ya soka ya AFC Leopards ya Kenya kusajili wachezaji wa kimataifa, ikiwa watashindwa kumlipa...

KAMWAGA: NAONDOKA SIMBA
LITOMBO ATOA KAULI YA KIBABE YANGA
MZIKI MZIMA WA SIMBA NA YANGA HUU HAPA


FIFA huenda itaifungia madirisha mawili klabu ya soka ya AFC Leopards ya Kenya kusajili wachezaji wa kimataifa, ikiwa watashindwa kumlipa mchezaji wao wa zamani kutoka Rwanda, Vincent Habamahoro kufuatia fedha anazodai milioni 36 inayotokana na mishahara ya miezi 4.

 

 Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa kocha mpya wa timu hiyo, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji aliyepata kuifundisha Simba ya Tanzania na kufanikiwa kuifikisha timu hiyo katika hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa.

 

Aussems ambaye kwa muda mchache alioanza kuifundisha timu, ameonekana kuibadili timu hiyo mabingwa mara 13 wa ligi kuu ya nchi hiyo, licha ya kutwaa ubingwa mara hizo zote kwa mara ya mwisho ilitwaa ubingwa mwaka 1999.

 

Habamahoro alisainiwa na AFC Leopards mwaka 2018 akitokea nyumbani kwao Rwanda na kudumu kwa muda michache sana kufuatia timu hiyo kushindwa kumlipa mishahara ya miezi mnne mfululizo yeye na wachezaji wenzake wa kigeni Tresor Ndikumana, Ismail Diarra na Sote Kayumba.

 

Baada ya kuzungushana malipo hayo aliamua kuchukua hatua ya kudai maslahi yake kwa kupitia chombo cha juu cha soka yaani FIFA, baadaye chombo hicho kiliagiza mchezaji huyo alipwe na klabu hiyo kukaidi.

 

FIFA kwa mara nyingine imetoa siku 45 awe amelipwa kinyume na hapo itaanza kutumikia rasmi adhabu hiyo.

 

AFC Leopards kwa sasa ipo katika nafasi ya 3 ikiwa alama 29 katika michezo 14 iliyoshuka dimbani nyuma ya alama 7 toka kwa vinara wa ligi hiyo Tusker ambayo ipo mbele michezo 2.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KLABU YA PATRICK AUSSEMS MAJANGA MATUPU, FIFA KUIPIGA PINI USAJILI
KLABU YA PATRICK AUSSEMS MAJANGA MATUPU, FIFA KUIPIGA PINI USAJILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZupZXR_GrZ_KyhkWH5uGCqFz_r7gKZ6Z7OzSMp9_xQ_RuNZY2ElFp57WMeRY8tZK4lQCAvYasCEF-GL9SsZiNqXFTVd7zB6yyxnKA86tJtLdJHiw1FU5-lR10njV3PX4pbgtRbRUZJQzW/w640-h434/Aussem+nje.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZupZXR_GrZ_KyhkWH5uGCqFz_r7gKZ6Z7OzSMp9_xQ_RuNZY2ElFp57WMeRY8tZK4lQCAvYasCEF-GL9SsZiNqXFTVd7zB6yyxnKA86tJtLdJHiw1FU5-lR10njV3PX4pbgtRbRUZJQzW/s72-w640-c-h434/Aussem+nje.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/klabu-ya-patrick-aussems-majanga-matupu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/klabu-ya-patrick-aussems-majanga-matupu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy