WATATU WA AZAM FC HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE
HomeMichezo

WATATU WA AZAM FC HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE

KESHO Azam FC kuna hatihati ya kuwakosa nyota watatu kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe kutokana na kutokuwa fiti kiafya.  Fra...

HIZI HAPA LEO ZA LIGI KUU BARA KUCHEZWA
LIGI MPYA ULAYA YASIMAMISHWA, TIMU ZAJITOA RASMI BAADA YA MASHABIKI KUPINGA
NYOTA HAWA SABA WA SIMBA KUIKOSA KAGERA SUGAR LEO KAITABA

KESHO Azam FC kuna hatihati ya kuwakosa nyota watatu kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe kutokana na kutokuwa fiti kiafya.

 Frank Domayo, Agrey Morris na Salum Abubakar, 'Sure Boy' nyota wa Azam FC kuna hatihati ya kuukosa mchezo wa kesho dhidi ya TP Mazembe kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.

Azam chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina, kesho Februari 2 wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, Uwanja wa Azam Complex.

Nyota wake wawili ambao ni Morris na  Sure Boy walipata majeraha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC ambao ulichezwa Uwanja wa Azam FC na Azam FC ilishinda mabao 3-1.

Domayo bado hajaanza mazoezi na wachezaji wenzake kwa kuwa anasumbuliwa na majeraha.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa Domayo hajaanza mazoezi ila nyota wengine hali zao zinaendelea salama.

"Domayo bado hajaanza mazoezi kwa sasa ila Morris na Sure Boy hawa maendeleo yao ni mazuri kwa sasa ni suala la kusubiri na kuona,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WATATU WA AZAM FC HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE
WATATU WA AZAM FC HATIHATI KUIKOSA TP MAZEMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjk9eSab7xmYA0pTQKkLVKqLQ4Yhf8ERzq9INBTCZHq-MunC9mEDFhsF5MoegVQ782q8s4RheqVJrW_Jt7Z5WNaAZzNHyoGbx3mtiYzRdElY2D6qIlMHq_vFv9ZPQEpcWJ2udrZx95FeZch/w626-h640/Sure+ushindi.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjk9eSab7xmYA0pTQKkLVKqLQ4Yhf8ERzq9INBTCZHq-MunC9mEDFhsF5MoegVQ782q8s4RheqVJrW_Jt7Z5WNaAZzNHyoGbx3mtiYzRdElY2D6qIlMHq_vFv9ZPQEpcWJ2udrZx95FeZch/s72-w626-c-h640/Sure+ushindi.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/watatu-wa-azam-fc-hatihati-kuikosa-tp.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/watatu-wa-azam-fc-hatihati-kuikosa-tp.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy