SIMBA KUWAFUATA BIASHARA UNITED LEO
HomeMichezo

SIMBA KUWAFUATA BIASHARA UNITED LEO

  KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mku, Didier Gomes, leo Februari 16 kitaondoka kwa ndege jijini Dar es Salaam kwenda jijini Mwan...

MTIBWA SUGAR YAKUBALIANA KUPAMBANA ILI KUBAKI NDANI YA LIGI
RONALDO BADO YUPOYUPO JUVENTUS
MZEE MPILI: TUNAIFUNGA SIMBA TENA KIGOMA, MANARA ANIPE MILIONI YANGU

 


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mku, Didier Gomes, leo Februari 16 kitaondoka kwa ndege jijini Dar es Salaam kwenda jijini Mwanza.
 
Kesho Jumatano, Februari 17 kitaelekea mkoani Mara kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Biashara United.

Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa Simba  Februari 18, 2021  Uwanja wa Karume.

Gomes amesema kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa na ushindani mkubwa ila wanahitaji pointi tatu muhimu.

"Ni mchezo mgumu kwetu hasa ukizingatia kwamba tutakuwa ugenini, haina maana kwamba itakuwa kazi nyepesi hapana.

"Nimewaambia wachezaji kwamba tunahitaji kupata pointi tatu wao wameelewa hivyo tutakwenda kupambana ndani ya uwanja kwa hali na mali," . 

Simba kwenye msimamo ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 39 inakutana na Biashara United iliyo nafasi ya nne na pointi 32.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUWAFUATA BIASHARA UNITED LEO
SIMBA KUWAFUATA BIASHARA UNITED LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZG2Z7PJOWOs9Gx1SnfNu1JDAP6C9Di1OpFYwKH08puVvsYcJASfPWBOheL0qG9I7vMzRsNOdoSSWruicGjYkhgXtLWw4sVuIyzzJTN55wFzdJhiO9LcMCe-rMV2hocv0EL8RGeKsf-qhm/w640-h426/IMG_20210216_102931_172.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZG2Z7PJOWOs9Gx1SnfNu1JDAP6C9Di1OpFYwKH08puVvsYcJASfPWBOheL0qG9I7vMzRsNOdoSSWruicGjYkhgXtLWw4sVuIyzzJTN55wFzdJhiO9LcMCe-rMV2hocv0EL8RGeKsf-qhm/s72-w640-c-h426/IMG_20210216_102931_172.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-kuwafuata-biashara-united-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-kuwafuata-biashara-united-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy