SARPONG AYEYUSHA DAKIKA 426 BILA KUCHEKA NA NYAVU BONGO
HomeMichezo

SARPONG AYEYUSHA DAKIKA 426 BILA KUCHEKA NA NYAVU BONGO

  GUU la Michael Sarpong, mshambuliaji wa Yanga,inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze limekwama Uwanja wa Mkapa kwa muda wa dakika 426 bi...

VIDEO:MWENYEKITI MPYA SIMBA ATANGAZWA
RASMI KIKOSO CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA
RASMI KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC

 GUU la Michael Sarpong, mshambuliaji wa Yanga,inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze limekwama Uwanja wa Mkapa kwa muda wa dakika 426 bila kucheka na nyavu.


Bao la kwanza Sarpong aliwafunga Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, bao la pili aliwatungua Biashara United, Uwanja wa Karume. Bao tatu aliwatungua Simba kwa mkwaju wa penalti, Uwanja wa Mkapa.
Bao la nne aliwatungua Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa ilikuwa Desemba 6.


 Baada ya hapo amecheza jumla ya mechi sita ndani ya ligi zote hajafunga zaidi ya kutoa pasi moja za mabao. Hivyo mshambuliaji huyo amehusika kwenye mabao matano kati ya 33 yaliyofungwa na timu hiyo akiwa amefunga manne na pasi moja ya bao.


Hizi hapa za kwenye ligi:-Mwadui 0-5 Yanga alitumia dakika 90,Yanga 3-1 Dodoma Jiji alitumia dakika 45,Tanzania Prisons 1-1 Yanga alitumia dakika 90,Mbeya City 1-1 Yanga alitumia dakika 90,Yanga 3-3 Kagera Sugar alitumia dakika 45, Yanga 1-0 Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa dakika 66.


Sarpong amesema kuwa anaamini mashabiki wanahitaji kuona akifunga jambo ambalo analipambania na atafanya hivyo kwenye mechi zake zijazo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SARPONG AYEYUSHA DAKIKA 426 BILA KUCHEKA NA NYAVU BONGO
SARPONG AYEYUSHA DAKIKA 426 BILA KUCHEKA NA NYAVU BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGcN410grc0J2ABesHY85DyWf2XePSP32LxyuNQ4pnRhUvbd8yxI6vgjGEiY6dkVyVUOxc1iE1WyH-38j5AJJ2v0Rp829u9OauceDY5hR3EDy0LdcqpOZvjmIVGz13ju4lH7t7LvrdXiTh/w520-h640/Sarpong+Mara.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGcN410grc0J2ABesHY85DyWf2XePSP32LxyuNQ4pnRhUvbd8yxI6vgjGEiY6dkVyVUOxc1iE1WyH-38j5AJJ2v0Rp829u9OauceDY5hR3EDy0LdcqpOZvjmIVGz13ju4lH7t7LvrdXiTh/s72-w520-c-h640/Sarpong+Mara.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/sarpong-ayeyusha-dakika-426-bila.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/sarpong-ayeyusha-dakika-426-bila.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy