Naibu Waziri Atoa Onyo Kwa Meneja Wa Ruwasa Chato
HomeHabari

Naibu Waziri Atoa Onyo Kwa Meneja Wa Ruwasa Chato

 Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametoa onyo kwa Meneja wa Wakala wa MajiSafi na Usafi wa Mazingira Vijijini ...

Bei ya petroli, dizeli yashuka....Hizi hapa bei mpya za mafuta leo Juni 1, 2022 nchini kote
Vichungi Vya Sigara Ni Vitu Vyenye Uchafuzi Na Sumu Kwenye Vyanzo Vya Maji
Tangazo la Ajira Mpya 1,241 Katika Jeshi La Magereza....Bofya Kutuma Maombi Kabla Hujachelewa!!


 Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametoa onyo kwa Meneja wa Wakala wa MajiSafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Chato Mhandisi Andrew Kilembe kwa kushindwa kutatua kwa wakati kero ya ubovu wa mita za maji zilizowekwa katika mradi wa maji wa Imalabupina Inchwankima na kusababisha wananchi wa eneo hilo kukosa maji kwa siku kadhaa.

Ametoa onyo hilo baada ya kupokea malalamiko toka kwa wananchi wakati akikagua mradi huo unahohudumia wakazi wa vijiji hivyo.

Amesema wananchi wanakosa huduma ya maji kwa sababu ya viongozi kufanya kazi kwa mazoea na kushindwa kutatua kero zinazojitokeza kwa wakati.

“Natoa onyo na naomba fuatilieni hilo tatizo linalosababisha wananchi wasipate maji kwa wakati maeneo mengine yanatoa maji, na hakikisheni hizo mita zinazosumbua zinabadilishwa haraka ili kuondoa kero hiyo na wananchi hawa wapate maji”, amesema Mhandisi Mahundi na kusisitiza kezo zote ikiwemo matatizo ya umeme yasisubiri viongozi.

Aidha, amempongeza Meneja huyo wa RUWASA Chato kwa kuamua kutumia shilingi milioni 311 kukarabati miundombinu ya mradi wa maji Kasenga ambao ulichakaa na kuacha kutoa maji kwa muda mrefu.

Katika ziara yake ya kukagua miradi ya maji mkoani Geita Naibu Waziri alikagua pia mradi wa maji wa Katoro Buseresere ambao utekelezaji wake unaendele vizuri na mradi huo ukikamilika utahudumia wananchi 20,000 wa kata ya Buseresere, Katoro, Ludete na Nyamigota


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Naibu Waziri Atoa Onyo Kwa Meneja Wa Ruwasa Chato
Naibu Waziri Atoa Onyo Kwa Meneja Wa Ruwasa Chato
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfHUoCIgqZpmEJA4N7YblhDKHSiZ4onlli0PDk5Km4Cbl8QZekxUJ5l-r5rs_anRm2e6IJpA1sVWoRNFj1xVW0Pjp8uXnil_VpItU2KMVKQQvuv2njp-Ca6VNPeTltt1kkzhsmmrF5rMkp/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfHUoCIgqZpmEJA4N7YblhDKHSiZ4onlli0PDk5Km4Cbl8QZekxUJ5l-r5rs_anRm2e6IJpA1sVWoRNFj1xVW0Pjp8uXnil_VpItU2KMVKQQvuv2njp-Ca6VNPeTltt1kkzhsmmrF5rMkp/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/naibu-waziri-atoa-onyo-kwa-meneja-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/naibu-waziri-atoa-onyo-kwa-meneja-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy