MISOMANE KOCHA WA AL AHLY ASEMA KUWA HAWAJAFUNGWA KWA MBINU BALI MAZINGIRA
HomeMichezo

MISOMANE KOCHA WA AL AHLY ASEMA KUWA HAWAJAFUNGWA KWA MBINU BALI MAZINGIRA

 BAADA ya Waarabu wa Misri Al Ahly kufungwa bao 1-0 mbele ya Simba kwenye mchezo wa  Ligi ya Mabingwa Afrika, Pitso Mosimane amesema kuwa ...

VIDEO: UCHAMBUZI WA PRIVALDINHO KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA
YANGA: SIMBA WATAWAFUNGA WENGINE ILA SIO SISI, WAJE HATUWAOGOPI
DUH: ETI HAJI MANARA ANAWEZA KUCHEZA ZAIDI YA CARLINHOS

 BAADA ya Waarabu wa Misri Al Ahly kufungwa bao 1-0 mbele ya Simba kwenye mchezo wa  Ligi ya Mabingwa Afrika, Pitso Mosimane amesema kuwa hawajafungwa kwa mbinu bali hali ya hewa haikuwa rafiki kwao.

Bao la ushindi kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa lilipachikwa kimiani na Luis Miquissone dakika ya 30 kwa shuti kali akiwa nje ya 18 jambo lililowamaliza wapinzani hao.

Mosimane amesema:"Tulikuwa tunajitahidi namna ya kwenda na wapinzani wetu na hili tulijua tangu awali jambo ambalo lilitufanya nasi tuongeze juhudi ndani ya uwanja.

"Kwa kilichotokea wanapaswa wapewe pongezi ila hatujapoteza kwa ajili ya mbinu zaidi ilikuwa ni hali ya hewa ambayo haikuwa rafiki kwetu.

"Muda wa jioni kwetu si rafiki hivyo tumejitahidi kwa namna ambavyo tumeweza tukashindwa kupata matokeo,hivyo mazingira hayakuwa rafiki kwetu, bado tuna kazi mbele na bado tuna mechi hivyo hatujakata tamaa,".

Mchezo huo ulichezwa majira ya saa 10:00 kwa saa za Afrika Mashariki.

Mara baada ya kukamilika kwa mchezo huo, Al Ahly hawakuwa na muda wa kubaki ndani ya ardhi ya Tanzania walikwea pipa na kurejea nchini Misri.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MISOMANE KOCHA WA AL AHLY ASEMA KUWA HAWAJAFUNGWA KWA MBINU BALI MAZINGIRA
MISOMANE KOCHA WA AL AHLY ASEMA KUWA HAWAJAFUNGWA KWA MBINU BALI MAZINGIRA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK-QAnEoIHomQbIgzmcvxsLHcEPlyzb1xBb1QPZI6I9E03mMwqtlzFn2ovy4D_Cz-z32rC3TkfCHGo-wFpgneXqMiOJfzYbRneJKVOwjlKDqwHAgiKiVRgwFthsu_xPzj2WCvxK3xP9L8A/w640-h438/Mugalu+kati.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgK-QAnEoIHomQbIgzmcvxsLHcEPlyzb1xBb1QPZI6I9E03mMwqtlzFn2ovy4D_Cz-z32rC3TkfCHGo-wFpgneXqMiOJfzYbRneJKVOwjlKDqwHAgiKiVRgwFthsu_xPzj2WCvxK3xP9L8A/s72-w640-c-h438/Mugalu+kati.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/misomane-kocha-wa-al-ahly-asema-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/misomane-kocha-wa-al-ahly-asema-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy