KUMUONA FISTON WA YANGA BUKU TATU
HomeMichezo

KUMUONA FISTON WA YANGA BUKU TATU

  MASHABIKI wa Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara leo watakuwa na fursa ya kumuona nyota wao mpya, Fiston Abdol Razack kwa kiwango cha...

VIDEO:TAZAMA PIGA NIKUPIGE ZA DULLAH MBABE V TWAHA, MZEE WA SHOWSHOW ASEPA NA NDIGA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
VIDEO: VITA YA VIUNGO SIMBA V YANGA, ACHA KABISA

 MASHABIKI wa Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara leo watakuwa na fursa ya kumuona nyota wao mpya, Fiston Abdol Razack kwa kiwango cha buku tatu tu pamoja na mastaa wao wengine ambao ni Deus Kaseke, Michael Sarpong, Metacha Mnata.

Yanga ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze ipo nafasi ya kwanza na imekusanya jumla ya pointi 44 baada ya kucheza mechi 18 ndani ya ligi ikiwa haijapoteza zaidi ya kulazimisha sare tano na kushinda mechi 13.

Leo itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya African Sports ya Tanga, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza  Uwanja wa Azam Complex ukiwa ni mchezo wa kujipima nguvu.

Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kiingilio jukwaa kuu itakuwa 5,000 na mzunguko itakuwa ni 3,000, lengo ni kuonyesha upana wa kikosi cha Yanga kuelekea kwenye mzunguko wa pili.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KUMUONA FISTON WA YANGA BUKU TATU
KUMUONA FISTON WA YANGA BUKU TATU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgD-9KkgdDaHGRGYsVId84XLXLOeZcSWsVqNfOVrtLqHaVAp4C8QPxtk-DAAcah8UHxptL7YgXyiee-QZUeUEyV48Upmei3xV6FXQAnQ8m-8FTvhq3yEoOI9My_6ZZUaJPtEFSyHFFMz491/w554-h640/Fiston+kazini.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgD-9KkgdDaHGRGYsVId84XLXLOeZcSWsVqNfOVrtLqHaVAp4C8QPxtk-DAAcah8UHxptL7YgXyiee-QZUeUEyV48Upmei3xV6FXQAnQ8m-8FTvhq3yEoOI9My_6ZZUaJPtEFSyHFFMz491/s72-w554-c-h640/Fiston+kazini.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kumuona-fiston-wa-yanga-buku-tatu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kumuona-fiston-wa-yanga-buku-tatu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy