KOCHA ARSENAL AWASIFU WACHEZAJI WAKE
HomeMichezo

KOCHA ARSENAL AWASIFU WACHEZAJI WAKE

  MIKEL Arteta,  Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa licha ya kwamba wachezaji wake uwanjani walibaki 9 walijitahidi kufanya kazi kubwa nd...

VIDEO: SIMBA KUPELEKA KOMBE KIGOMA, YANGA YATANGAZA VITA FA
VIDEO: MGUNDA: SIKUWAFUNDISHA MBINU ZA KUOTEA WACHEZAJI WANGU
VIDEO: SHABIKI WA SIMBA ATOA AHADI YA KUNYOLEWA NYWELE WAKIFUNGWA NA YANGA

 


MIKEL Arteta,  Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa licha ya kwamba wachezaji wake uwanjani walibaki 9 walijitahidi kufanya kazi kubwa ndani ya Uwanja wa Molineux.

Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 2-1 ikiwa ugenini mbele ya Wolves ambapo wachezaji wake wawili ambao ni David Luis dakika ya 45 na Bernd Leno dakika ya 72 walionyeshwa kadi nyekundu.

Mabao ya Wolves ambayo ipo nafasi ya 14 na pointi zake 26 baada ya kucheza mechi 22 yalifungwa na Ruben Neves dakika ya 45+3 kwa penalti na Joao Moutinho alipachika bao la pili dakika ya 49.

Kwa Arsenal,  Nicolas Pepe alifunga bao la kwanza ambalo halikulindwa na Arsenal dakika ya 32 na kuwafanya wabaki na pointi zao 31 wakiwa nafasi ya 10 na imecheza mechi 22 ndani ya Ligi Kuu England.

"Wachezaji walijitahidi kipindi cha pili kuonyesha juhudi licha ya kuwa walikuwa tisa uwanjani. Kipindi cha kwanza ilikuwa ngumu kuweza kupata ushindi ila kipindi cha pili mambo kidogo kulikuwa na mabdailiko.

"Ni matokeo mabovu kwetu ila bado ni mwanzo mzuri na ninaona kwamba wachezaji wanajitahidi kufanya vizuri ndani ya uwanja," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA ARSENAL AWASIFU WACHEZAJI WAKE
KOCHA ARSENAL AWASIFU WACHEZAJI WAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiN39tp-MjOy_10J0Uy-mTT3hgerprZLhUguvuFPoKTPS7bf9oe0VlSH1MFp8WzONOMHeZLrDVF-kUqX1KipdRIOz0a91r9B_QQtYCUTERsKf-JSGGs6MgKjZglnD6ikQPUjjQEftauZ5l-/w512-h640/IMG_20210203_100449_546.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiN39tp-MjOy_10J0Uy-mTT3hgerprZLhUguvuFPoKTPS7bf9oe0VlSH1MFp8WzONOMHeZLrDVF-kUqX1KipdRIOz0a91r9B_QQtYCUTERsKf-JSGGs6MgKjZglnD6ikQPUjjQEftauZ5l-/s72-w512-c-h640/IMG_20210203_100449_546.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-arsenal-awasifu-wachezaji-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kocha-arsenal-awasifu-wachezaji-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy