MABOSI YANGA WATAJA KAZI YA MTAMBO WA MABAO
HomeMichezo

MABOSI YANGA WATAJA KAZI YA MTAMBO WA MABAO

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nyota wao mpya Fiston Abdulazack ambaye wamempachika jina la mtambo wa mabao amekuja kufanya kazi itakayowa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
ISHU YA MORRISON CAS BADO NZITO, MPILI ABAINISHA KUHUSU KIGOMA
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA

 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa nyota wao mpya Fiston Abdulazack ambaye wamempachika jina la mtambo wa mabao amekuja kufanya kazi itakayowapa furaha wana Jangwani.

Nyota huyo ametua Bongo jana, Januari 29 akitokea nchini Burundi na amesaini dili la miezi sita ambalo lina kipengele cha kuongeza mkataba.

Anaungana na rafikiye, Said Ntibanzokiza ambaye alianza kazi ndani ya Yanga akiwa amefunga mabao mawili kwenye Ligi Kuu Bara.

Ntibanzokiza na rai wa Burundi na alijiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo akiwa ni mchezaji huru na alikuwa anakipiga kwenye timu ya Taifa ya Burundi.

Alianza kufunga bao lake la kwanza mbele ya Dodoma Jij, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid na alifunga bao la pili mbele ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela.

Ofisa Uhamasishaji ndani ya kikosi cha Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kazi yake ni kuwapa furaha wanajangwani na kutuma salamu kwa wapinzani wao.

"Amekuja ndani ya Yanga kufanya kazi ya kuwapa furaha mashabiki wa Yanga ambao kwa sasa ni muda wao wa kutamba na kufurahi.

"Malengo yetu ni kuona kwamba tunachukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na lile Kombe la Shirikisho, tumeanza na lile la Mapinduzi hivyo kuna mengine yanakuja zaidi," .

Nyota huyo amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga hivyo matumaini yake ni kufanya vizuri na kutimiza kile ambacho mashabiki wanahitaji.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MABOSI YANGA WATAJA KAZI YA MTAMBO WA MABAO
MABOSI YANGA WATAJA KAZI YA MTAMBO WA MABAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieHel_Gd4DReF9Wv81tHgYShtUsmlWukE2-B51XUQt2hjndxvbFkFGzxIblRraSBuZokEle7Sf8juTaHSYVU11TyGePCoWWAwi3Zu0BzAg7Dfnu65yBh-4Uc0BT8qAfkPt18mg8ha53qBY/w640-h0/Fiston.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieHel_Gd4DReF9Wv81tHgYShtUsmlWukE2-B51XUQt2hjndxvbFkFGzxIblRraSBuZokEle7Sf8juTaHSYVU11TyGePCoWWAwi3Zu0BzAg7Dfnu65yBh-4Uc0BT8qAfkPt18mg8ha53qBY/s72-w640-c-h0/Fiston.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mabosi-yanga-wataja-kazi-ya-mtambo-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mabosi-yanga-wataja-kazi-ya-mtambo-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy