Diamond]Mpenzi Wangu Mjamzito Kweli
HomeBurudani

Diamond]Mpenzi Wangu Mjamzito Kweli

Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea ...

MZEE YUSUF AFUNIKA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
Flora Mbasha Afunguka Mazito Mpaka Mengine Hayawezi Elezeka Kuhusu Mumewe Mbasha, Ni Hatari Sana
Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu

Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa,  mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika
 “Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu Mavazi..”huku akiweka picha yake na mpenzi wake huyo wakitoka kwenye show ya miaka 38 ya CCM huko songea. Baada ya kukaa chini vizuri na wataalamu wetu hawa wa fasihi , walituhakikishia kuwa “Kileeeee” katika sentensi hiyo sio kitu kingine bali ni ujauzito alionao mrembo huyo na mara nyingi ukichunguza ndio kitu kinachomuharibia mwanadada au yoyote mavazi kirahisi hasa “kinapoanza” kuwa kikubwa.Kweli tumeamini  lazima ujue tofauti ya msalaba na kujumlisha.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Diamond]Mpenzi Wangu Mjamzito Kweli
Diamond]Mpenzi Wangu Mjamzito Kweli
http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/Diamond_na_Zari.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/diamondmpenzi-wangu-mjamzito-kweli.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/diamondmpenzi-wangu-mjamzito-kweli.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy