Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi
HomeHabariKitaifa

Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Idadi ya watahiniwa wa mwaka huu ni pungufu ikilinganishwa na ya mwaka 2013 iliyokuwa na watahini...

Msiba Mzito: Kontena lalalia basi, laua 42, lajeruhi 23
SIMBA YAIRARUA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA
Japan yachangia mil 160/- shule ya msingi Kakuni

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba

Idadi ya watahiniwa wa mwaka huu ni pungufu ikilinganishwa na ya mwaka 2013 iliyokuwa na watahiniwa 367,399.

Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne katika shule mbalimbali nchini, wanaanza mtihani wa kuhitimu utakaokamilika baada ya siku 20 huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.
  Idadi ya watahiniwa wa mwaka huu ni pungufu ikilinganishwa na ya mwaka 2013 uliokuwa na watahiniwa 367,399.

  Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama alisema juzi kwamba kati ya idadi hiyo, watahiniwa wa shule ni 245,030 na watahiniwa wa kujitegemea ni 52,458.

  Kati ya watahiniwa wa shule, wavulana ni 132,244 sawa na asilimia 53,97 na wasichana ni 112,786 sawa na asilimia 46.03.

 Mhagama alisema  kati ya watahiniwa wa kujitegemea 52,458, wanaume ni 25,458 na wanawake ni 26,684.

  Alisema kati ya watahiniwa hao, 51 ni wasioona wakiwemo wavulana 37 na wasichana 14 na kwamba wenye uoni hafifu ambao huhitaji maandishi makubwa ni 356.

  Alisema kundi jingine ni la watahiniwa waliojiandikisha kufanya mitihani ya maarifa ni 14, 723 wakiwemo wanaume 5,940 na wanawake 8,783.

  Mhagama alizitaka mamlaka mbalimbali kuhakikisha kwamba zinazuia udanganyifu katika mtihani huo. 

  “Maofisa elimu na mikoa na kwenye halmashauri hakikisheni taratibu zote za mitihani zinafuatwa, zuieni mianya yote inayoweza kusababisha udanganyifu,” alisema.

  Mhagama alisema wanafunzi watakaobainika kufanya udanganyifu watachukuliwa hatua ikiwemo kufutiwa mtihani.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi
Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2552174/highRes/895698/-/maxw/600/-/y7od2g/-/mwigullu.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/watahiniwa-kidato-cha-nne-kuanza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2014/12/watahiniwa-kidato-cha-nne-kuanza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy