HomeHabariTop Stories

Leao anaweza kuwa bora zaidi duniani ;Kocha

Kocha wa Milan Sergio Conceicao alizungumza na vyombo vya habari, baada ya kushinda Kombe la Super Cup la Italia kwa mabao 3-2 Kocha huyo a...

Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 2, 2025
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 2, 2025

Kocha wa Milan Sergio Conceicao alizungumza na vyombo vya habari, baada ya kushinda Kombe la Super Cup la Italia kwa mabao 3-2

Kocha huyo alisema: “Nimefurahishwa sana na wachezaji, kwa sababu haikuwa rahisi nilipofika, na hakukuwa na muda mwingi wa kufanyia kazi maelezo kabla ya mechi hizi mbili na tulikuwa tunakabiliana na timu mbili za kiwango cha juu.

Aliongeza: “Wachezaji walikuwa wa ajabu Walizingatia kila kitu tulichojadili na ni wazi kuna mambo tunahitaji kuboresha, lakini wanaelewa hilo.

Ninahisi kuwa kwa unyenyekevu, tunaweza kuwa na miezi mizuri pamoja kwenye Ligi ya Mabingwa na Serie A na tunataka kuipeleka Milan pale inapostahili kuwa.

“Sasa sisi Tuna furaha, tunasherehekea na kuanzia kesho tutaanza kuelekeza nguvu kwenye Cagliari.”
Kuhusiana na kile alichokisema wakati wa mapumziko dhidi ya Juventus kwenye mchezo wa nusu fainali: “Kuna baadhi ya mambo tulilazimika kurekebisha, katika Ulinzi au ushambuliaji, lakini ilikuwa chungu kuruhusu goli kisha tukaruhusu jingine.

 

The post Leao anaweza kuwa bora zaidi duniani ;Kocha first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/NMnikFL
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Leao anaweza kuwa bora zaidi duniani ;Kocha
Leao anaweza kuwa bora zaidi duniani ;Kocha
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/leao-anaweza-kuwa-bora-zaidi-duniani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/leao-anaweza-kuwa-bora-zaidi-duniani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy