Boda boda wilaya ya handeni wafanya maandano na kufanya usafi kumpongeza Rais Dkt.Samia Suluh Hassan
HomeHabariTop Stories

Boda boda wilaya ya handeni wafanya maandano na kufanya usafi kumpongeza Rais Dkt.Samia Suluh Hassan

Madereva wa Bodaboda Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wamefanya maandamano ya amani na kufanya usafi katika Hospital ya Wilaya hiyo lengo ikiw...

Man Utd itajumuisha kipengele muhimu katika mkataba wa Greenwood wa Marseille.
Wakenya wafanya tamasha kuwakumbuka waathiriwa wa maandamano
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 8, 2024

Madereva wa Bodaboda Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wamefanya maandamano ya amani na kufanya usafi katika Hospital ya Wilaya hiyo lengo ikiwa ni kuunga mkono jitihada za kimaendeleo zilizofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Akizungumza katika zoezi hilo Mwenyekiti wa Kijiji cha Mkata Mashariki Zamini Kafuluma amesema kutokana na mradi mkubwa wa Hospitai ya Wilaya ya Handeni umewapunguzia changamoto ya umbali wa upatikanaji wa huduma za kiafya na kuahidi kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa miradi hiyo kwa maendeleo endelevu

“Kijiji hiki au eneo hili lilikuwa na uhaba mkubwa sana wa huduma za afya ilikuwa inasababisha katika eneo hili kukipatikana ajali wagonjwa wapelekwe kwenye maeneo ambayo ni ya mbali ambapo ni Bombo ambapo ni Tanga Mji, au Teule Muheza au Korogwe au apelekwe hospitali ya Kibaha Tumbi

Lakini kwasasa tunashkuru Mhe. Rais kwa jitihada zake ametuletea mradi mkubwa wa hospitali kubwa ambayo ipo hapa katika Mji wetu wa Mkata”

Hata hivyo Ameeleza namna wanavyoshirikiana na Jeshi la Polisi katika Wilaya hiyo licha ya changamoto ya uhaba ya usafiri katika kituo cha polisi na kuiomba Serikali kuingilia kati suala hili

 

“Jeshi la polisi wanajitahidi sana kwenye usalama barabarani lakini changamoto za ajali zinapojitokeza huwa wanapata changamoto za usafiri gari yao ni mbovu kwahiyo Mhe. Rais kama itakupendeza kituo cha polisi cha Mkata waweze kupata gari ili waweze kufika kwenye maeneo kwa wakati”

 

The post Boda boda wilaya ya handeni wafanya maandano na kufanya usafi kumpongeza Rais Dkt.Samia Suluh Hassan first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/ZmCirBL
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Boda boda wilaya ya handeni wafanya maandano na kufanya usafi kumpongeza Rais Dkt.Samia Suluh Hassan
Boda boda wilaya ya handeni wafanya maandano na kufanya usafi kumpongeza Rais Dkt.Samia Suluh Hassan
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/IMG-20250125-WA0038-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/boda-boda-wilaya-ya-handeni-wafanya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/boda-boda-wilaya-ya-handeni-wafanya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy