HomeHabariTop Stories

WHO yafanya uchunguzi wa mlipuko mpya wa ugonjwa usiojulikana Kongo

Shirika la Afya Duniani WHO limesema hapo jana kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu mlipuko wa ugonjwa usiojulikana uliogundulika nchini Jam...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 19, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 18, 2024
Waziri wa usalama wa taifa Israel atishia kujiuzulu ikiwa watakubali kusitisha mapigano

Shirika la Afya Duniani WHO limesema hapo jana kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu mlipuko wa ugonjwa usiojulikana uliogundulika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Katika mkoa wa Panzi, ulioko zaidi ya kilomita 700 kutoka mji mkuu Kinshasa, maambukizi 406 yameripotiwa na vifo 31. Wizara ya Afya ya Kongo imeripoti vifo vya ziada vilivyotokea nje ya vituo vya afya ambavyo vinavyohitaji kuchunguzwa na kuthibitishwa

WHO imesema katika taarifa yake kuwa visa vingi vimevyoripotiwa miongoni mwa watoto, hasa wale walio chini ya umri wa miaka mitano, huku dalili za ugonjwa huo ambao hadi sasa haujajulikana ikiwa ni homa kali, mafua na matatizo ya kupumua.

Magonjwa kama malaria, nimonia, UVIKO19 na utapiamlo vinachukuliwa kama vichecheo vya ugonjwa huo.

 

The post WHO yafanya uchunguzi wa mlipuko mpya wa ugonjwa usiojulikana Kongo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/38M4Qq1
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WHO yafanya uchunguzi wa mlipuko mpya wa ugonjwa usiojulikana Kongo
WHO yafanya uchunguzi wa mlipuko mpya wa ugonjwa usiojulikana Kongo
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/who-yafanya-uchunguzi-wa-mlipuko-mpya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/who-yafanya-uchunguzi-wa-mlipuko-mpya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy