Waziri Biteko aagiza kuchukuliwa hatua za kisheria Mtanzania anedaiwa kukutwa na shehena kubwa ya nyaya za Tanesco
HomeHabariTop Stories

Waziri Biteko aagiza kuchukuliwa hatua za kisheria Mtanzania anedaiwa kukutwa na shehena kubwa ya nyaya za Tanesco

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, In...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa kumchukulia hatua za kisheria mtanzania anedaiwa kukutwa na shehena kubwa ya nyaya za Tanesco, miundombinu ya SGR mkoani Pwani kisemvule

ameyasema hayo leo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi njia ya kusafirisha umeme msongo wa kilovoti 400 kutoka chalinze hadi Dodoma

“Mkuu wa mkoa huko hapa na Waziri wa Mambo ya ndani nataka kuona yule bwana mwenye godawn ambaye ameiba miundombinu hii hatu za kisheria zinachukuliwa kwake ili iwe fundisho mimi sitaki kuingilia mambo ya uchunguzi acha yafanyike lakini nataka nione haki inafanyika kwa watanzania wanaokosa Nishati kwa sababu ya tamaa ya watu wa chache” Naibu Waziri Mkuu Biteko

The post Waziri Biteko aagiza kuchukuliwa hatua za kisheria Mtanzania anedaiwa kukutwa na shehena kubwa ya nyaya za Tanesco first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/gSIkGCU
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Biteko aagiza kuchukuliwa hatua za kisheria Mtanzania anedaiwa kukutwa na shehena kubwa ya nyaya za Tanesco
Waziri Biteko aagiza kuchukuliwa hatua za kisheria Mtanzania anedaiwa kukutwa na shehena kubwa ya nyaya za Tanesco
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241212-WA0005-950x634.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/waziri-biteko-aagiza-kuchukuliwa-hatua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/waziri-biteko-aagiza-kuchukuliwa-hatua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy