TRA mkoa wa Iringa yawapongeza walipakodi wake
HomeHabariTop Stories

TRA mkoa wa Iringa yawapongeza walipakodi wake

Mamlaka ya Mapato Tanzania Tra Mkoa wa Iringa Imeendelea kudumisha mahusiano Mazuri na kuwashukuru wafanyabiashara wake Mkoani hapa kwa kuen...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 23, 2025
Naibu Katibu mkuu wizara ya madini asisitiza uwajibikaji weledi na ubunifu katika utekelezaji wa majukumu
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 22, 2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania Tra Mkoa wa Iringa Imeendelea kudumisha mahusiano Mazuri na kuwashukuru wafanyabiashara wake Mkoani hapa kwa kuendelea kutimiza wajibu wao wa kulipa Kodi kwa wakati

Shukrani hizo zinetolewa leo baada ya Meneja wa Mamlaka ya mapato Tanzania Tra Mkoa wa Iringa Bw. Peter Jackson akiwa pia ameambatana na meneja msaidizi Bw. Gwamaka Pholld walipowatembelea walipakodi Mbalimbali eneo la Miyomboni kwa ajili ya kuwashukuru kwa kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi lakini pia kusikiliza changamoto mbalimbali za kikodi na kuzitatua

Meneja wa TRA Mkoa wa Iringa amesema ni muhimu kutimiza wajibu wa kulipa kodi kwa wakati ili kuondokana na adhabu zitokanazo na kuchelewa kulipa kodi.

Pia amesisitiza matumizi sahihi ya Mashine za kutolea Risiti za Kielektroniki yaani wauzaji wanapaswa kutoa risiti za Kielektroniki kila wanapofanya Mauzo, na wanunuzi kudai risiti kila wanapofanya Manunuzi.

 

The post TRA mkoa wa Iringa yawapongeza walipakodi wake first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/r7C38WL
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TRA mkoa wa Iringa yawapongeza walipakodi wake
TRA mkoa wa Iringa yawapongeza walipakodi wake
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241215-WA0007-950x712.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/tra-mkoa-wa-iringa-yawapongeza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/tra-mkoa-wa-iringa-yawapongeza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy