Tatizo la ajira bado ni Kaa la moto Kwa vijana Mkoa wa Tanga
HomeHabariTop Stories

Tatizo la ajira bado ni Kaa la moto Kwa vijana Mkoa wa Tanga

Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani amesema kuwa katika Jiji la Tanga, tatizo la ajira kwa vijana ni changamoto inayolikabili hivyo...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 9, 2024
BRELA “Wasanifu Majengo tumieni vizuri bunifu na kulinda michoro yenu
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 8, 2024

Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani amesema kuwa katika Jiji la Tanga, tatizo la ajira kwa vijana ni changamoto inayolikabili hivyo hawana budi kupambana nayo kwa nguvu zote kwa kushirikisha Serikali na wadau wengine wa maendeleo kama botna foundation.

Amesema kuwa kulingana na sensa ya Takwimu ya Taifa (NBS), bado changamoto ya ajira kwa vijana ni kubwa na kila mmoja anahitajika kuchukua hatua wakiwemo vijana wenyewe kwa kutafuta ajira na kujiajiri.

Amesema takwimu hizo za NBS, zinaonyesha kuwa vijana 147,000 wenye umri wa miaka 15-35 katika jiji hilo 109,000 wameajiriwa katika sekta rasmi na isiyo rasmi,

“Lakini wapo takribani 5,000 wanatafuta kazi kwa sasa. Inasikitisha sana kuona kuwa kuna vijana takriban 30,000 hawatafuti kazi na wala hawataki kusoma.

Hili ni tatizo la kijamii na nilazima tushirikiane kulitatua,”

Kwa upande wa Botna foundation kupitia kwa Hassan Mshinda amesema kuwa mradi wa pili wa Tanga yetu utagharimu kiasi Cha shilingi Bil.8 huku akiwasihi vijana kuchangamkia fursa za uvuvi,Elimu,Afya na kilimo.

 

The post Tatizo la ajira bado ni Kaa la moto Kwa vijana Mkoa wa Tanga first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Tp0Mslm
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tatizo la ajira bado ni Kaa la moto Kwa vijana Mkoa wa Tanga
Tatizo la ajira bado ni Kaa la moto Kwa vijana Mkoa wa Tanga
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241214-WA0001-950x849.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/tatizo-la-ajira-bado-ni-kaa-la-moto-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/tatizo-la-ajira-bado-ni-kaa-la-moto-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy