Eng. Mwajuma amtaka mkandarasi Sinohadro kuongeza Kasi ujenzi bwawa la kidunda.
HomeHabariTop Stories

Eng. Mwajuma amtaka mkandarasi Sinohadro kuongeza Kasi ujenzi bwawa la kidunda.

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Eng. Mwajuma Waziri amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda Sinohydro kuongeza kasi...

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Eng. Mwajuma Waziri amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda Sinohydro kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo na kuukamilisha kwa wakati ili kufikia malengo ya serikali ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha inamaliza changamoto ya huduma ya maji katika mikoa yaMorogoro, Pwani na Dar es salaam.

Eng. Mwajuma ameyasema hayo katika ziara yake ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Bwawa hilo linalotarajia kuhifadhi maji kiasi cha mita za ujazo Milioni 190 pindi litakapo kamilika.

“Utekelezaji unaenda vizuri na juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zinaonekana, fedha tayari zipo ni muda sasa wa mkandarasi kufanya kazi ili wananchi wanufaike na hili Bwawa la Kidunda” amesema

Katika ziara hiyo Eng. Mwajuma ameambatana na Kamishina wa Bajeti kutoka Wizara ya Fedha Bw. Meshack Anyingisye ambaye amekiri kufurahishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Bwawa huku akiiomba Wizara ya Maji kuendelea kuweka uangalizi wa kutosha ili mradi huu uweze kukamilika kwa wakati.

 

The post Eng. Mwajuma amtaka mkandarasi Sinohadro kuongeza Kasi ujenzi bwawa la kidunda. first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/147ws2c
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Eng. Mwajuma amtaka mkandarasi Sinohadro kuongeza Kasi ujenzi bwawa la kidunda.
Eng. Mwajuma amtaka mkandarasi Sinohadro kuongeza Kasi ujenzi bwawa la kidunda.
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241208-WA0028-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/eng-mwajuma-amtaka-mkandarasi-sinohadro.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/eng-mwajuma-amtaka-mkandarasi-sinohadro.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy