Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi.
HomeHabariTop Stories

Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi.

Askari wa Jeshi la Akiba Wilaya ya Longido Mkoani Arusha wametakiwa kutokuwa chanzo cha Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi wa Serikali za ...

Askari wa Jeshi la Akiba Wilaya ya Longido Mkoani Arusha wametakiwa kutokuwa chanzo cha Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utakaofanyika Mwezi huu huku wakitakiwa kufuata Sheria za Ukamataji Salama walizofundishwa na Jeshi la Polisi.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido Mrakibu Msaidizi wa Polisi ASP Tausi Mbalamwezi wakati akitoa elimu hiyo kwa askari wa Jeshi la akiba ambapo amewataka kuzingatia Sheria na miongozo ya Uchaguzi iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi.

ASP Mbalamwezi ameongeza kuwa endapo mazingira ya uvunjifunzi wa amani ya tatokea zipo taratibu ambazo zitawaongoza katika kutekeleza majukum yao.

Amesisitiza kuwa askari ni kimbilio la wengi katika changamoto ndani ya jamii ambapo amewataka askari hao kuendeleza imani hiyo kwa jamii.

The post Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi. first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/U53Yl17
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi.
Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi.
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241122-WA0010-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/tusiwe-sehemu-ya-matumizi-ya-nguvu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/tusiwe-sehemu-ya-matumizi-ya-nguvu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy