Mwanamke akutwa na nyaraka feki ya kifo cha mwenye eneo Bunju,waziri aagiza akamatwe
HomeHabariTop Stories

Mwanamke akutwa na nyaraka feki ya kifo cha mwenye eneo Bunju,waziri aagiza akamatwe

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemrejeshea Bw. Daudi Mfangavo kiwanja namba 23 kitalu 15 Mbweni M...

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani
BVR Kits 4,257 kuboresha daftari Shinyanga na Mwanza
Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 21, 2024

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemrejeshea Bw. Daudi Mfangavo kiwanja namba 23 kitalu 15 Mbweni Mpiji, Dar es Salaam ambaye alidaiwa kufariki dunia.

Mhe Ndejembi ameto agizo la kuchukuliwa hatua Bi Nuru Mandela aliyefoji nyaraka zinazoonesha kuwa yeye ndie Mke halali wa Bw. Mfungavo ambaye alidai alifariki dunia Juni 2011 na kukiuza kwa Bw. Mfungavo ambaye alidai alifariki dunia Juni 2011 na kukiuza kwa Bw. Servas Mkomba baada ya kupata hatimiliki ya kiwanja hicho.

“ Huu ni mtandao mkubwa hivyo namuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi kuwachukulia hatua kali watumishi wote watakaobainika kuhusika na uuzaji wa kiwanja hiki kwa njia ambazo sio halali ili iwe mfano kwa Watumishi wote ambao wamekua wakihusika na matukio kama haya ili kuweza kurudisha uadilifu kwenye Wizara hii.

Lakini pia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni navyo vifuatilie kwa wenzake wote walioshiriiana na Nuru ili waweze kufikishwa katika vyombo vya kisheria ili kuweza kutokomeza mtandao huu wa kitapeli,” Amesema Mhe Ndejembi.

Aidha Mhe Ndejembi ameelekeza kufutwa kwa hati ya mwanzo iliyotolewa kwa aliyekua mnunuzi wa kiwanja hicho na badala yake Bw. Mfangavo aweze kupatiwa hati yake halali ndani ya saa 24.

 

The post Mwanamke akutwa na nyaraka feki ya kifo cha mwenye eneo Bunju,waziri aagiza akamatwe first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/m8VTHni
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mwanamke akutwa na nyaraka feki ya kifo cha mwenye eneo Bunju,waziri aagiza akamatwe
Mwanamke akutwa na nyaraka feki ya kifo cha mwenye eneo Bunju,waziri aagiza akamatwe
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/f9820df3-bf16-4e51-bb8f-1bc88c9bfa5d.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/mwanamke-akutwa-na-nyaraka-feki-ya-kifo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/mwanamke-akutwa-na-nyaraka-feki-ya-kifo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy