HomeHabariTop Stories

Alikiba akishirikia na Asas waandaa tamasha la ASAS FIT & FUN KIDS FEST

Mwimbaji Star Alikiba akishirikiana na Kampuni ya ASAS wameandaa tamasha la watoto lililopewa jina la ASAS FIT & FUN KIDS FEST linalotar...

Mwimbaji Star Alikiba akishirikiana na Kampuni ya ASAS wameandaa tamasha la watoto lililopewa jina la ASAS FIT & FUN KIDS FEST linalotarajiwa kufanyika tarehe 9 Disemba mwaka huu MbeziBeach.

Akiongea na waandishi wa Habari Alikiba aliyeambatana na Mtangazaji Salim Kikeke Pamoja na wadau wengine wa Tamasha hilo wamesema “Hili jambo ni la kijamii sana na la mapenzi ya hali ya juu sana kama mnavyojua @asas_dairies wanajitoa sana kwa ajili ya mambo ya jamii hivyo walipenda kusherekea sikukuu ya uhuru na watoto ambao wataambatana na wazazi wao…

Katika hatua nyingine Alikiba amekiri kuwa anao watoto watano ambapo wawili wa kenya hana uhakika kama watashiriki ila waliopo Tanzania watashiriki ili kusuport watoto wenzao Kwenye tamasha hilo

 

 

The post Alikiba akishirikia na Asas waandaa tamasha la ASAS FIT & FUN KIDS FEST first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/pXzSEt3
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Alikiba akishirikia na Asas waandaa tamasha la ASAS FIT & FUN KIDS FEST
Alikiba akishirikia na Asas waandaa tamasha la ASAS FIT & FUN KIDS FEST
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/alikiba-akishirikia-na-asas-waandaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/alikiba-akishirikia-na-asas-waandaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy