Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi
HomeHabariTop Stories

Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi

Naibu waziri wa elimu sayans na Teknolojia Omari kipanga mbunge wa jimbo la Mafia amesema kuwa ameridhishwa na maonesho ya nane nane Kanda y...

Naibu waziri wa elimu sayans na Teknolojia Omari kipanga mbunge wa jimbo la Mafia amesema kuwa ameridhishwa na maonesho ya nane nane Kanda ya masharki yanayofanyika katika viwanja vya nane nane Morogoro katika sekita za kilimo na uvuvi ambapo amewataka wakulima kutumiant teknolojia Ili kujikomboa kiuchumi.

Akizungumza na Waandishi wa habari Mhe. naibu waziri amesema kuwa licha ya kutumia maonesho haya kama sehemu ya kutalii pia wakulima na wafugaji watumie ubunifu unaoonyeshwa katika maonyesho haya ili kuboresha kilimo kama kupata mbegu Bora ambazo zinastahili ukame

Aidha amesema kuwa maonesho haya ya nane nane yataleta chachu kwa wakulima kwani asilimia kubwa yamelenga katika ubunifu mbalimbali unaofanywa na wadau mbalimbali

Mh Naibu waziri ametembelea vibanda mbalimbali katika viwanja vya nane nane Mkoani Morogoro ikiwemo sekta za uvuvi na kilimo

The post Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/LzUuq2p
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi
Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/IMG-20240808-WA0002-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/tumie-teknolojia-kwenye-kilimo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/tumie-teknolojia-kwenye-kilimo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy